Mungu alipo sema tusidikaribie zinaa hakika zinaa ni uchafu mbaya aliyafaham haya. Yote haya ni matokeo ya zinaa
Mhu jamani aliyeandaa hii mada nampa pongezi kwani imenigusa sana na imenifariji na kuona cko peke yangu ktk hili tatizo.ila cha kushangaza jamani baba wa mtoto amenitelekeza na anakula goodtime maisha yanamyiokea mie nilieachiwa mtoto nasaga lami mpaka naona dunia chungu.
kila mtu ana dukuduku lake, polen wamama na wababa wote mlia wa pekwe kwa kuachwa, kuacha kutoka na matatizo mbalimbali na au kufiwa. pia nami niliamua kukubali kuachwa kwani mwishoe ningeshindwa kulea hata watoto. mm ni mwanaume ninapoona wanaume wanawaacha wanawake wenye nia njema na maisha yao nakuwafuata wasio hata na dira labda ni maandiko. mwanamke ndo muhimili wa ujenz wa familia bora. mm ilikuwa lazima nikubali kuachana kwani mwanaume wa nje alinizi nguvu japo kipato nilikuwa namzidi. akamziba masikio mke wangu, mpango ninayopanga nae inapata kikao upya huenda ikagomewa au kukubalika kwenye kikao cha 2.. hivyo ratiba zangu nyingi zilikwama bila mm kujua chanzo. kutoka na mm kuwa binadamu pia nikawa mkorofi ndipo akapata ticketi ya kuondoka 2010. na kuniachia watoto 2. kwa sasa yule mwanaume kwel kamuoa na wana mtoto 1, mm nawatafutia maisha wanangu japo kiukweli mtu kuishi peke yako kwa umri nilionao kuna changamoto yake. polena sana wote mliopitia magumu msaada wa pekee ni Mungu mwenyewe.
Huyo baba anaesex na mwanae atakuwa taahira kama sio mganga wakienyeji
edison halaf elewa nilichoandika .nimesema mimi ninaemuamini ni babaangu..sijazungumzia na maono ya wengine..na busara sina kweli maana nimelelewa na babaangu kuanzia nikiwa na mwaka 1.kwahyo kila tabia niliyonayo na matendo ni kutoka kwa baba.labda ningelelewa na mama ningekua na busara.
hii ni imani tu. mimi wa kike lakini sikuwahi kumsumbua mama kuhusu baba, wala sikuwahi kujiuliza kwa nini hayupo. labda kwa sababu na watoto wengine majirani pale kijijini walikuwa wanakaa hata miaka mitano hawajaona baba zao (baadhi ya mibaba ya kimachame ilikuwa na tabia ya kukaa mikoani na kuacha wake vijijini kwa muda mrefu. wastaarabu kidogo walikuwa wanakuja krisimasi). pengine labda ni kwa kuwa nilishashiba upendo wa babu na bibi walionilea toka mwaka mmoja mpaka 12 au kwa kuwa sikuwahi kukosa chochote ambacho kingenifanya nihisi baba angekuwepo mambo yangekuwa tofauti. nilimuuliza mama baada ya kutumwa na jirani mmbea (mama stivinii), na mamangu alihisi nimetumwa ila nikakanusha na sikurudi kwa jirani kutoa ripoti.
mbona wadada tu ndio wanafunguka........ ina maana wanaume hakuna????
mm ni bint niliyelelewa na walezi tu tangia nikiwa na siku 1,maana mama yangu alifariki siku hiyo baba yangu alikimbia na sikuwahi kufaham kafariki mwaka jana tu hapo siku zote nilijua uwepo wake na hakuhangaika kunitafuta,zaidi nina roho ngumu vibaya mno yaan sina uchungu na binadam yeyote yaan hata kama ni mwanaume ananisumbua au ananitenda au ananisaliti yaan siumii hata kidogo,vilevile sina upendo na ndugu zangu maana mm nilinyimwa upendo kwa hiyo upendo haukuwahi kujengwa kwa moyo wangu,yaan ninaroho ngumu kama jiwe la chuma,naomba mungu huyu mume anaenioa anipende sanaaa zaid ya anavyonipenda na watoto tulee pamoja labda upendo utajengeka kwangukama wewe ni single mum/dad, aidha ulitendwa ulibebeshwa ujauzito usioutarajia ukaachwa au ulipenda kujizalia au uliletewa mtoto ukatupiwa hapo na mamaake kuenda kusikojulikana.
Uliolewa/ulioa ukaachika au kuachwa na kubebeshwa jukumu la ulezi au ni mjane/mgane umefiliwa na mumeo/mkeo.
Karibu hapa tujadiliane kuhusu changamoto za kuwa mzazi wa pekee kwako wewe kama mlezi na kwa mtoto.
- kwanza maswahibu yepi yalikukuta mpaka ukawa single mum/dad
- una plan gani za maisha ya baadae?
- mtoto wako analichukuliaje suala la kukosa father figure/mother figure katika makuzi
- yake?na unafanya jitihada gani kulisawazisha hilo?
- usingle mum/dad umeaffect vipi maisha yako?
- ungepewa nafasi ya kuchagua upya mkondo wa maisha yako ungechagua mkondo upi?
karibuni
Jumapili nilikua zangu home mara akapita huyo mwanaume anaongea na sim nadhani alikua anaongea na mtoto wake.. anamwambia " mimi baba ako sijafa nipo.. kama walikuambia nimekufa ni uongo mimi niko hai. Alivyomaliza kuongea na yule mtoto akaanza kuongea na yule mama inakuwaje amemwambia mtoto amekufa... yule mkaka ni jirani na mie kupenda umbea ikabidi nimuulize inakuaje mtoto kasema yeye alishakufa.., akasemq ye aliondoka huko kwa mama watoto mtoto akiwa na miezo 4 na hadi hiyo siku ilikua miaka 7 imepita ndio kapata mawasiliano nao. Kwahiyo mtoto aliambiwa hana baba, baba ake alishafariki siku nyingi Nikaikimbukia na hii thread ya single mom.
Mpwa nitarudi hapa.
Wapo wengi sana' mi namjua mmoja aliachwa na mkewe mtoto mmoja akiwa darasa la pili' mwingine miaka mitatu. Sasa binti mkubwa anasoma form two! Akiaongelea u single parent huwa ni uchungu zaidi maana wababa hawajazoea kulea peke yao' na hasa akiwa na kipato cha chini' maisha huwa shida zaidi.
mm ni bint niliyelelewa na walezi tu tangia nikiwa na siku 1,maana mama yangu alifariki siku hiyo baba yangu alikimbia na sikuwahi kufaham kafariki mwaka jana tu hapo siku zote nilijua uwepo wake na hakuhangaika kunitafuta,zaidi nina roho ngumu vibaya mno yaan sina uchungu na binadam yeyote yaan hata kama ni mwanaume ananisumbua au ananitenda au ananisaliti yaan siumii hata kidogo,vilevile sina upendo na ndugu zangu maana mm nilinyimwa upendo kwa hiyo upendo haukuwahi kujengwa kwa moyo wangu,yaan ninaroho ngumu kama jiwe la chuma,naomba mungu huyu mume anaenioa anipende sanaaa zaid ya anavyonipenda na watoto tulee pamoja labda upendo utajengeka kwangu
Dada Shaa ni kweli ipo,tena sana tuu...
Uchaggani ipo sana tu na nina ushahidi...tena acha baba,kuna ndugu,kaka,mjomba,baba wadogo,wakubwa...babu,nk...
Tena you cant imagine bikra nyingi zimetolewa na ndugu wa damu kabisa,ndio takwimu hivo...
Beware,watoto wako wa kike weka mbali na ndugu kabisa...hakuna kushare vitanda au kuoga bafu moja,none of that bullshit.
umenifundisha na umesomeka ila mwenzio ndo hivyo hata kuua mtu sioni shida wala nini yaan afadhali ya jana kuliko ya leo ,wewe unafikiri mtu gaidi kaanza leo huyo alikuwa nayo kutokana na ugaidi alofanyiwa ndo maana ni gaidi,siku zote tambua kuwa namba zote zilianza na 0 kwa hiyo ni ngumu kuifanya namba irudi 0 zaid asante kwa ushaurWe nabii mweusi hebu mruhusu Mungu afanye kitu kwenye moyo wako. Jifunze kusamehe jamani. Kupenda na kupendwa kuna raha sana hebu usijinyime hiyo fursa. Ukiwa na huo moyo mgumu kama jiwe utampendaje na kumheshimu huyo mumeo? Utawafundishaje wanao upendo? Usitarajie mumeo mtarajiwa atafanya maajabu eti upendo ujengeke. Upendo haujengeki bali unajengwa. Na atakayeujenga ni wewe. JKama huna upendo hata upendwe vipi hutajali, sana sana utaona watu kama wanajipendekeza tu. Jaribu kuangalia mambo kwa hisia chanya. Kukosa kwako upendo iwe ni fursa ya wewe kujua thamani ya upendo kisha uutafute kwa bidii na uusambaze kwa wengine. Mimi ni mmojwapo wa watoto wanaoshukuru kuachwa na baba tena kabla hata sijamjua. Nisingekuwa huyu niliye leo. Nii bora katika maeneo mengi kuliko watoto wa baadae wa baba yangu. Siamini kama ilikuwa bahati mbaya. Huyo baba yako kama alikukimbia ukiwa na siku 1 na hakurudi nyuma huoni kama angekuwa ni janga kwako kama angejilazimisha kukulea? Amini katika kila jambo baya linalokupata kuna jambo zuri kwa ajili yako. Sijui we ni dini gani lakini uwe mwislamu au mkristo utakuwa unajua story ya musa. huyu mtoto alitupwa mtoni kutokana na amri ya farao ya kupambana na wayahudi lakini musa akaishia kurudi kwenye mikono ya mamake na baadae kuishi kama mtoto wa mfalme katika jumba la ufalme la farao na baadae sana akatekeleza kile mungu alichomuwekea ndani yake. Ninapokutana na visa kama hiki huwa napenda kumtolea mfano prof. masalakulangwa wa medical psychology pale kairuki. ana historia ya kuvutia. huyu alitupwa akaokotwa akapelekwa misheni akakulia huko na sasa ni profesa, mume na baba na mtumishi anayehudumia watu wengi katika maeneo tofauti ya maisha hapa tz na nje. akiongelea kutupwa kwake hakuongelei kwa uchungu, bali kwa ushindi. Angeanza kuweka moyoni hayo uliyoyaweka wewe sijui angekuwa mtu wa aina gani. Sisemi ni mtu bora saana, ni binadamu kama sisi ila hakukubali historia yake iwe tatizo bali changamoto.
Tafadhali usijivunie ujiwe wa moyo bali uukatae. Kwa nini ufe wakati unaishi? Unaweza hata kukaribisha magonjwa. Kama huna uchungu na binadamu yeyote si unaweza hata kuuwa??! Umenitisha ujue! Hukuchagua kufiwa, kutelekezwa wala kulelewa na hao watu. Na siamini kama walikunyima upendo kiasi hicho jamani. Hebu washukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kukupa maisha. Au hata raha ya kuishi huna? Kaa ujiambie kuna sababu ya wewe kuja duniani, haijalishi ulikujaje ila sasa upo na jinsi ya kuishi kwa furaha ni chaguo lako. Unaweza kujifunza kusamehe na kupenda. Jilishe maneno yanayohusiana na upendo na kusamehe, ukipenda kusoma soma vitu vya aina hiyo utakutana na watu waliopitia makubwa kuliko wewe na wameshinda. Nisamehe kwa risala.