Single mums and dads come this way

Oooops hatimaye nimemaliza kusoma , nimejifunza mambo mengi sana humu.....
1. Kwamba single parents wanauwezo mzuri tu wa kulea watoto wao.
2. Lakini pia wametawaliwa na emotions, bitterness na hasira kwa mwenzi wao.
3. Namba 2 huwapelekea wakipata changamoto za kawaida za kimalezi kuwashushukia wazazi wenza.
4. Watoto nao kuonekana kuathirika kisaikolojia kulingana na malezi waliyopata kwa mzazi mmoja against mzazi mwingine.
5. Jamii nayo huonesha kuwachukulia tofauti single parents na kuathiri malezi na mahusiano.

Muhimu; umeamua kuwa single parent kiukweli ni kwamba unauwezo wa kusurvive cha muhimu punguza machungu yaliyopo moyoni mwenu na songesheni maisha.
 

word........................................
 
Wewe si umeniomba nije kumchukua mwanangu?!! Sasa unauliza nini tena?
Wapi nimekuomba uje kumchukua mwanao.???? Alafu kwani nimezaa na wewe mpaka nikuombe uje kumchukua mwanao???? Mwanao yupi labda???? Unanijua?? Mbona unajishuku sana?? Inaelekea umetelekeza mtoto wako somewhere now u are dying with guilty. naomba usinichefue wewe baba.....
 
Niko responsible na ninachoandika, sio mtu anachoamua kuelewa.

Mtu hujiumiza mwenyewe kwa kujihisi tu.

Hongera kwa uchaguzi mzuri wa maneno, kama koko bichi, una komunikesheni skills za hali ya juu.

 
Mmmhhh...isije kuwa amezaa na baba yake...
Si unajua kuna wababa wanabaka au kulaghai mabinti zao...
Otherwise why????

yule mama before her death kashawahi kumuelekeza yule mkaka gongo la mboto kwa mzee fulani akamwambia huyo anamjua baba yako
kweli akaenda akamuambia njoo siku flani nikupeleke
wakaelewana
unfortunately kabla hawajapelekana mama akaumwa na akamwambia mwanawe asimtafute tena ht akitokea amekufa
 
Asante, too much bitterness and self pity, utadhani wao ndo wa kwanza.

Nashangaa kwa baadhi kuona ni 'ushujaa', wakati hakuna maisha yasiyo na chantamoto.

 
Hata mie nashangaa. Kila siku hapa MMU tuna argue kuwa mimba/mtoto si sababu tosha ya kuoana na mtu.

Kwa hali hiyo unapofanya ngono bila ndoa ujue uzazi unaweza kukuhusu. Ndio nakubali, wanaume pia wanatakiwa kuwajibika, ila hata wanaokataa wapo.

Kwa hali hii mtu anatakiwa awe amejiandaa kwa lolote, kunguru nwoga hukimbiza ubawa wake.

Mie nachokataa ni maumivu ya wazazi kuhamishiwa kwa watoto. Nakataa mzazi kujiona kadhulumiwa/kaonewa, sijui na nani. Ndo maana nitakwelewa yule aliyebakwa. Hata mjane ninamhurumia kwa kuondokewa mwenza, sio kulea wanae.

Maisha hayakosi changamoto.

 
Kutaka sana ukubalike na jamii unayoishi.ni dalili ya kuwa hujikubali, ukijikubali hutajali wengine wamekuweka kundi gani.

Ukiyakubali maisha yako, hutataka kuhamishia uchungu wako kwa mwingine. Mama kutomwonyesha mwanaye babake ni kuvunja haki za mtoto. Ni mama?Ndio, lini yeye si Mungu wa kuamulia baba na mtoto wakutane lini

Ni hayo tu.

 
Ukweli unauma ujue. Mwanangu umlee vizuri, siku nikija kumchukua nimkute akiwa vizuri.

Wewe si unajua kushabikia sana? Sasa utakula jeuri yako.
 
Usimfundishe mwanao kumuita Baba yake fisi Maji, no matter how frustrated you are kwa aliyokutendea. Mfundishe kumpenda kila mtu, kuheshimu hata huyo Baba kwa kuwa hatapungukiwa na kitu.

Sijawahi kumfundisha hivyo mwanangu kwanza hakuna mtu anaongelea habari za huyo mbaba si mimi wala mwanangu,nashukuru huyo baba ni mkristu lakini mwanangu nimemlea kiislam kwahiyo naona ni bonge la zawadi nikitangulia kufa atanizika.
 
Niko responsible na ninachoandika, sio mtu anachoamua kuelewa.

Mtu hujiumiza mwenyewe kwa kujihisi tu.

Hongera kwa uchaguzi mzuri wa maneno, kama koko bichi, una komunikesheni skills za hali ya juu.

Kongosho nakusifu kwa uelewa na kutoruhusu emotions kwenye mjadala pamoja na matusi kutoka kwa baadhi ya wasiotaka kuuona ukweli upande wa pili. KUDOS
 

umeongea point nzur sana. Hata mm nmeliona hilo watu walio wengi wanaelekeza lawama na chuki kwa mzazi mmoja ambaye n mwanaume.

Nmesoma commet ya mdau mmoja kafikia hadi hatua ya kumsema baba yake kiaz, lakn yote hayo ni kutokana na hasira zilizopandikizwa kwa upande mmoja.

Mm ningeomba watu hasa waliolelewa na mzaz mmoja wasifikie hatu ya kuwa na chuki na hasira sana, badala yake wajaribu kuvuta picha kutoka kwenye jamii hii tuliyo nayo.

Watambue kuwa kero na changamoto kama za kubambikiwa mimba, kutegeshwa mimba kwa lengo la kupata ndoa, kutopata mimba huku wakiwa kwenye mahusiano ya mwanaume zaidi ya mmoja hayo ni miongon mwa mambo yanayochangia akina mama kukimbiwa.

Tatzo wanapata malalamiko toka kwa mama tu lakn hata kama ingetokea nafas naye baba akajieleza kuwa kwann alimkataa nadhan pasingekuwa na hasira sana.

Hayo mambo wakat mwingne akina mama ndio huwa chanzo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…