Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Kama wewe ni single mum/dad, aidha ulitendwa ulibebeshwa ujauzito usioutarajia ukaachwa au ulipenda kujizalia au uliletewa mtoto ukatupiwa hapo na mamaake kuenda kusikojulikana.
Uliolewa/ulioa ukaachika au kuachwa na kubebeshwa jukumu la ulezi au ni mjane/mgane umefiliwa na mumeo/mkeo.
Karibu hapa tujadiliane kuhusu changamoto za kuwa mzazi wa pekee kwako wewe kama mlezi na kwa mtoto.
Karibuni

- Kwanza Maswahibu yepi yalikukuta mpaka ukawa single mum/dad
- Una plan gani za maisha ya baadae?
- Mtoto wako analichukuliaje suala la kukosa father figure/mother figure katika makuzi yake?na unafanya jitihada gani kulisawazisha hilo?
- Usingle mum/dad umeaffect vipi maisha yako?
- Ungepewa nafasi ya kuchagua upya mkondo wa maisha yako ungechagua mkondo upi?
Karibuni