ugisi za nzise
Member
- Oct 6, 2026
- 41
- 119
- Thread starter
- #21
Ndio sababu tunasema hawana akili, yani upigwe na Hassan kisasi ukalipe kwa Kevin?Huwa wanakuwa wakorofi kwa sababu ya kutendwa na njemba zao za awali.
Ndio sababu tunasema hawana akili, yani upigwe na Hassan kisasi ukalipe kwa Kevin?Huwa wanakuwa wakorofi kwa sababu ya kutendwa na njemba zao za awali.
HapanaUnaamini kila unachokutana nacho kwenye mitandao
Mkuu, ni mwandishi sio mtunziSiyo mtunzi?
Kwamba, hakuna walio wema hata wachache tu?
Yeah, ni mwandishi, siyo muhusika, right? 😂Mkuu, ni mwandishi sio mtunzi