Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

If kuna somo nilijifunza wkt nakua ni suala la kuamini mwanamke anaeenda kanisani ana adabu na atatulia na ww. Dini hizi zinatumia kama njianya kuficha madudu yao

Watu wengi wanaoenda kanisani ni wagonjwa.

Hivyo ukimpata mwenza huko hakikisha umeujua ugonjwa wake vyema na umeridhia unaweza kuustahimili [emoji3]
 
If kuna somo nilijifunza wkt nakua ni suala la kuamini mwanamke anaeenda kanisani ana adabu na atatulia na ww. Dini hizi zinatumia kama njianya kuficha madudu yao

Watu wengi wanaoenda kanisani ni wagonjwa
Hivyo ukimpata mwenza huko hakikisha umeujua ugonjwa wake vyema na umeridhia unaweza kuustahimili[emoji3]
 
Yalinikuta bur pia nilijifunza kitu
 
Naomba hii iwe hoja yangu ya mwisho kukujibu.

[emoji120]

Kuna jirani yangu alikuwa ana shadadia sana jamaa yangu aniache,kutwa kumpelekea umbea,tukigombana anakuja dirishani kusikiliza[emoji28][emoji28][emoji28],kweli tuliachana baada ya muda tukajua chanzo cha ugomvi wetu ni jirani tumerudiana mapenzi shata shata jirani masawe yupo hoi haamini aibu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia usije shushuka kama jirani yetu masawe[emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
 
Hujaelewa maana ya andiko, ningeandika uzi kwamba jamaa kauwawa kikatili sababu ya mkewe usinge comment hivi, mtuonee huruma aisee!
 
Wanawake wengi wamejikuta matatani wakidhani kuachika ni fasion na sifa kwao,majuto huja kitambo kidogo tuu.
 
Mleta uzi amechapika 'ki ULALO ULALO" Mpaka anajiongelesha mwenyewe kama kichaa S/O joanah,Marybee naomba na mdau mwingine wakuitwa 'Liverpool VPN' akileta mada achapike kiUlalo ulalo kama huyu 'POOR VISION"
 
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka sana...
One man down
 
Hujaelewa maana ya andiko, ningeandika uzi kwamba jamaa kauwawa kikatili sababu ya mkewe usinge comment hivi, mtuonee huruma aisee!
Jinsi ulivyo present hii mada umekaa kiushabiki zaidi hujaelezea hayo mabaya ya dada sasa sisi tuta comment nini zaidi.

Inaonekana hata wewe huyajui mabaya yake unashabikia tu ungeyajua ungesha yasema hapa.

Acha hao wanaweza kupatana utashushuka ndugu ogopa watu wanaolala wanajifunika shuka moja uchi watakushangaza
 
Mleta uzi amechapika 'ki ULALO ULALO" Mpaka anajiongelesha mwenyewe kama kichaa S/O joanah,Marybee naomba na mdau mwingine wakuitwa 'Liverpool VPN' akileta mada achapike kiUlalo ulalo kama huyu 'POOR VISION"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usimtie ndimu muache apoe
 
Back
Top Bottom