Single Mother ananiroga ili nimuoe

Single Mother ananiroga ili nimuoe

Huyo ana akili sana ila we hujui, wanasema tumia pesa upate pesa, akianza kukugeuzia kibao utatoa huduma nyingi sana. Kama huna malengo nae jiepushe usikubali kula vinono vya mtu ujue utavilipia kwa garama ya juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama wiki 2 sasa imeshakatika tangu nianzishe mahusiano na huyu single mother lakini vitendo anavyonifanyia walahi huyu mother ananiroga taratibu ili nimuoe,

Kwa sababu Juzi kati hapa kaniita kwake nimekuta chai tamu kinyama sijui imewekwa vitu gani mle sijawahi kunywa chai tamu kiasi kile nilivyomaliza kanivutia chumbani kwake na kunipa penzi moja matata

Siku mbili mbele akaniita tena kwake kama suprise nikakutana na pilau lililojaa minyama ya kuku plus Juice ya baridii kabisa, alivyovaa sasa ni kanga moja laini nikawa nakula huku dushe liko wima nilivyomaliza nikamvuta na kumla na yeye mwenyewe,

Juzi tu hapo akaniita tena kwake akaizima simu yangu na yake ikawa ni mwendo wa kupeana mautamu tu yaani siku 3 nzima sijaiona JF wala mtandao wowote nilikuwa bizy na papuchi ya huyu single mother,

Mada yangu ya JF hard talk kaichachisha bila huruma huyu single mother huyu sijui huu uchawi anaoutumia ni uchawi wa wapi,

Nachoshukuru kwamba leo kaniachilia hivyo mada yetu ya JF hard talk itakuwa mubashara sitakubali tena anishikilie,

Kanungila Karim stay tune saa moja kamili unaingia kwenye JF Hard Talk (Kikaango).


CC Zero IQ.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najiuliza kaka mbona adondoshi uzi au ndo ubize wa hardtalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom