Single mother ameniteka

Single mother ameniteka

Jaribu kuvua hiyo zawadi aliokupa ukiona hali bado ni ile ile jua ni ww tu ndio unampenda ila unamuonea aibu
 
Ndio nini hiki ? Sijaelewa
sorry ktk avartar yake aliweka picha ya mcheza filamu ya Predator nimeshaifuta nilitaka kutumia hivi badala ya ID nikimaanisha bora jaap akaoe atapata mapenzi na watoto
1619355615562.png
 
Kwani 'singo maza' si ni mwanamke na wewe ni mwanaume? Halafu mwanaume na mwanamke huwa wanapendana
 
Jaribu kuvua hiyo zawadi aliokupa ukiona hali bado ni ile ile jua ni ww tu ndio unampenda ila unamuonea aibu
Hapana hakuwa kwenye moyo wangu tokea zamani nilikuwa na mpigia simu nikiona kifurushi nilisho jiunga kina Karibia kuisha muda wake ndo nampigia simu yeye ninaweza kukaa miez minne bila kuwasiliana Naye nashangaa sasaivi siwez kupitisha siku bila kumtafuta, halaf nakuwa muda mwingi na muwaza yeyetu mpaka nakosa hamu yakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma nilikuwa simpendi alikuwa ana ladhimisha tuonane Mimi nilikuwa na mpiga chenga Sana, siku Moja nika mkubalia tuonane na kweli tukaonana, siku hiyo tulivyo onana akanipa zawadi ya kuvaa mkononi lichuma flani akanivalisha mkononi, Cha kushangaza tokea siku hiyo nime kuwa nikimpenda na kumuwaza Sana tofauti na kipindi cha nyuma, Yan siwez kukaa bila kumjulia hari, wakat kipind cha nyuma ilikuwa ina pita miez simtafuti kabisa. Nashangaa sasaivi muda wote roho kama inataka kutoka kwa kumuwaza yeye tu huyu single mother, Yan asipo pokea sim yangu au kujibu sms zangu naumia Sanaa mpaka naanza kuisi Kuna Jambo nimefanyiwa kabisa, na Mimi sipendagi madem kutoka moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushalogwaa wewe si bure
 
Kwan ww nan aliekwambia hisia hisia/moyo huwa unazama kwa pisi kali? Huo ukawaida ni macho yako ndio yaona hvyo ila moyo/hisia zako zinautafsiri tofauti kabsaa kwaiyo usishangae.
Mimi sijawai kupenda kiasi hichi na Mimi sijuagi kupenda wanawake kwa kiwango hiki mpaka najiisi kukonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom