Single mama njoon tuongee kudogo

Single mama njoon tuongee kudogo

Yaliyozalishwa na kuachwa kwa tabia mbaya
 
Kuolewa sio bahati nyi watu mbona mnakariri misemo...kwann kuolewa iwe bahati? kwamba mmejiharibu sanaaaa kiasi kwamba wanaume wanashindwa kuwaoa? mimi kwangu kuolewa ni kawaida tuu kama kuamua mambo mengine kwann uite bahati..labda kwa mlioharibu maisha yenu sasa wanaume ata awawezi kuwataka tena kwa ndoa. Kama unaona kuolewa ni bahati ujue something is wrong somewhere.
 
Kiukweli single mama wanaojitambua wakiolewa huwaga wanatulia sana, Mungu akinipa single mama anaejitambua ntamshukuru sana
 
Hebu ngoja niukamatie huu uzi. Hapa kuna dalili ya kutimiza ndoto yangu ya kuoa single mama. Uzuri wameitana kurekebishana tabia.
Yaan kama mleta uzi alizungumza na mimi, Mkuu tupo pamoja tutege mitego inase, hata mim nataka sana kuowa single mother
 
Yaan kama mleta uzi alizungumza na mimi, Mkuu tupo pamoja tutege mitego inase, hata mim nataka sana kuowa single mother
Sema single mothers wa humu jf itakuwa wanazingua tu mbona siwaoni wakijitokeza kukoment. Me nipo hapa kuangalia sample ila sijaiona komenti ya single mama ujue. Sasa waache wakae na ukame wao me nilishaamua kuendesia gari kubwa.
 
😂😂 yanaona aibu mwee, jaman single mama karibuni, waowaji tumejitokeza
 
Back
Top Bottom