Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Ukweli ni huu napendwa na watu wazuri wenye kujielewa ila kipindi hicho ilikuwa sina uamuzi kwa sababu ya malengo yangu.
 
Mmmh nikisoma comments hapa naona kuna mabinti wataangamia kwa ujinga za mama zao....
 
Haangalii hali ya kiuchumi ila atakaesaidia kuongeza utajiri mhhh.???si kitu kimoja hiki?.
 
Its ATTITUDE
ALTITUDE= HEIGHT
 
Kuna mtu kasema una tatizo la FAOGE.. ie Fallacy of Generalization. Naona umeliprove hapa.
Nani kasema?? Mbona wapo wanawake wenye sifa zote nzuri na wameolewa ila waume zao wanawanyanyasa!!
 
Mmmh nikisoma comments hapa naona kuna mabinti wataangamia kwa ujinga za mama zao....
We acha tu mkuu.

Ninakubaliana na hii notion, kwamba ukitaka kujua tabia za mkeo mchunguze mamaye (mama mkwe).

Hata huu upuuzi wa kupanuliapanulia wanaume miguu hovyo na kuzalia nyumbani ni matokeo ya uzembe mkubwa wa mama zao katika makuzi.
 
Sipo miongoni mwao ila nimeshashuhudia na ninashuhudia ndoa nyingi sana za hivyo
Huu utafiti umeufanyia wapi!? Na hao wanawake wenye sifa zote nzuri but wananyanyaswa ni % ngapi ya wote walioolewa? Na wewe umo miongoni mwa hao wazuri wanaonyanyaswa!??
 
Kuna mtu kasema una tatizo la FAOGE.. ie Fallacy of Generalization. Naona umeliprove hapa.
Sijageneralize nimesema wapo (maana yake baadhi) wanawake ambao wana sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na siyo wote wewe kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi kwamba hakipo
 
Poleni Sana
We acha tu mkuu.

Ninakubaliana na hii notion, kwamba ukitaka kujua tabia za mkeo mchunguze mamaye (mama mkwe).

Hata huu upuuzi wa kupanuliapanulia wanaume miguu hovyo na kuzalia nyumbani ni matokeo ya uzembe mkubwa wa mama zao katika makuzi.
 
Nani kasema?? Mbona wapo wanawake wenye sifa zote nzuri na wameolewa ila waume zao wanawanyanyasa!!
Huyo mwanamke ambaye wewe unamuona ana sifa zote nzuri atakuwa ni punguani lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…