Single father

Single father

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
701
229425_161407457332242_2047010987_n.jpg
 
Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia
 
weehh hapo unafikiri huyo mtoto atakubali kunyonya kitu kigumu hivyo..? Watoto wanajua ziwa la mama..




Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia
 
lolest........wala hawezi kunyonyo wana akili kama nini?kwanza mrija mgumu chuchu ya mama laini & pia anajua huyo sio anaemnyonyesha kila siku
 
Baba wa kileo/ wa dot com!!! Mama anakwenda gym huku baba anabadilisha nepi!
 
Acha kunisema

Mnaiga utamaduni wa kizungu ambao hamjui hata asili yake; matokeo yake ndoa zenu hazidumu na hao watoto wenu wanaishia kupata malezi mabaya ya single parent!!!
 
Wewee nyonyo ni nyonyo tu hakuna kama nyonyo aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom