Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,503
- 1,139
Haya maisha haya tuendelee kumuomba Mungu anatulinda sana hapa nimetoka kushuhudia ajali mbaya hapa Singida, Hiace na semi trailler. Hiace hautamani kuitazama mara mbili. Yaani polisi ndiyo wanawapanga barabarani mimi nimeshuhudia miili sita dah huzuni maisha ya watu🙆🏿♂️😭😭😭. Mimi napita tu basi so msiniombe picha.
======
Ajali ya Lori aina ya Scania na Hiace imeacha watu 14 wakifariki dunia na watatu majeruhi. Ajali hiyo imetokea Kijiji cha Mkiwa wilaya ya Ikungi majira ya saa 9:30 Alasiri.
Dereva wa Hiace alitaka kulipita 'overtake' gari la mbele yake bila mafanikio na kukumbana na lori uso kwa uso.
Majeruhi watatu wanatibiwa hospitali ya wilaya ya Manyoni.
======
Dereva wa Hiace alitaka kulipita 'overtake' gari la mbele yake bila mafanikio na kukumbana na lori uso kwa uso.
Majeruhi watatu wanatibiwa hospitali ya wilaya ya Manyoni.