Singida: Watu 14 wafariki na watatu kujeruhiwa ajali ya Lori na hiace

habari haijakamilika,inasema singida,singida wapi? lini? nani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo?
 
habari haijakamilika,inasema singida,singida wapi? lini? nani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo?
Halafu wewe wa ajabu sijawahiona. Amekwambia ameona kwa macho yake mwenyewe we unataka nani tena aliyethibitisha? Nyie ndio wale wa kukariri eti mpaka usikie sauti ya kamanda fulani wa polisi kasema!!!
 
Back
Top Bottom