Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Singida Umetoa taarifa ya kupigwa risasi mgonjwa wa akili wilayani Ikungi baada ya kujeruhi watu wanne na hatimaye kwenda kuingia ktk kibanda.
Polisi walipofika Kamanda anasema Polisi walimsihi ajisalimishe kwa hiari lakini alikaidi amri na kumfuata Polisi akiwa na kisu mkononi.
Aliongeza Kamanda wa Polisi Mkoa kuwa Polisi alipokuwa anarudi nyuma alijikwaa na kuanguka halafu Mgonjwa akataka kumchoma Kisu Polisi kifuani ssasa Polisi katika kujihami akampiga risasi ya Tumbo ikitokea nyuma na kufariki huyo mgonjwa.
Swali langu:
1.Polisi wetu hawana mbinu za kum arrest MTU mwenye mgonjwa wa akili?
2.Tutawaua wenye ugonjwa wa akili wangapi kama wasipotii amri pale wakihatarisha maisha ya watu?
3.Naomba Polisi wajiongeze kitaaluma kunapotokea kunatakiwa Kudhibiti na kum arrest mgonjwa wa akili.
Mgonjwa wa akili ana haki kama mwanainchi mwingine yoyote yule
Taarifa hii nimesikia Redio free Africa matukio asubuhi ya leo.16/03/2017
Hopeless!!Usikute na hao polisi walikua wagonjwa wa akili.
Wakapimwe akili
Hopeless!!
YahHopeless!!
It depends with the circumstance of the incident itself! And you can blame after you have investigated the incident not just by hearing from the media. This is how great thinker need to act on it.....!!Yah
How can the qualified professional police do such a mad thing?
Au kwako inaingia akilini?
Wewe unasema hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo kwa kichaa?Hakuna polis ambae anaweza kumpiga risasi mtu yoyote ambae tayar yupo ktk hali ya utulivu....walikuwa askar wawili ambapo huyo mtu alikuwa ameshawajeruhi watu kwa kisu polis walipoenda kutaka kumzuia hakuskia akawa anamfata polis amchinje yule askar akapiga risasi juu ila hakusikia askar akarud nyuma akaanguka yule jamaa akampiga kis askar na alipotaka kumpiga kisu kingine akatokea askari anaona kile kitendo ungekuwa wew askar ungeangalia mwenzio anavyofariki ba unauwezo wa kumuokoa.....
Kama umefatilia moja ya sheria ya polisi,anaruhusiwa kumpiga mtu/adui yake risasi endapo yule mtu ana risasi na kama huyo adui hana risasi ila ana silaha au hana silaha lakini analeta madhara anaweza akampiga hata kwenye mkuu/paja tena only 1 bullet.It depends with the circumstance of the incident itself! And you can blame after you have investigated the incident not just by hearing from the media. This is how great thinker need to act on it.....!!
Sheria ipi hiyo inataja risasj?? Hujui kitu waachie wanaojua fanya uliyo na uwezo nayo!Kama umefatilia moja ya sheria ya polisi,anaruhusiwa kumpiga mtu/adui yake risasi endapo yule mtu ana risasi na kama huyo adui hana risasi ila ana silaha au hana silaha lakini analeta madhara anaweza akampiga hata kwenye mkuu/paja tena only 1 bullet.
Wewe umejua huyo alikuwa kichaa???Wewe unasema hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo kwa kichaa?
Kama waliweza kumwona Daudi Mwangosi aliyekuwa na Kamera kama tishio kwao, itakuwaje kichaa hata kama amefungwa kamba?
Ni kweli hakuna POLISI anayeweza kufanya hivyo lakini "polisi" wetu hiyo ni kawaida sana kwao.
Dah!Sheria ipi hiyo inataja risasj?? Hujui kitu waachie wanaojua fanya uliyo na uwezo nayo!
Utajuaje kama wanafanya kazi kwa mihemuko wakati sheria yenyewe huijui?Dah!
Haya mkuu
Ila jeshi la polisi la Tanzania linafanya sana kazi kwa mihemuka zaidi ya uweledi
Elimu inahitajika sana kwao
MkuuUtajuaje kama wanafanya kazi kwa mihemuko wakati sheria yenyewe huijui?
Kwa nini unamwita kichaa?? Wewe daktari? Umempima?? Huyo anafamilia yake ujuwe!!Mkuu
kumshambulia kichaa kwa risasi mpaka kumuua ?
Inaingia akilini kweli