Singida: Polisi waua "Kichaa" kwa risasi Ikungi mjini

Rpc atasema kichaa alianza kuwashambulia Polisi na wao wakajibu mapigo kwa kumpiga risasi na alifariki wakati akipelekwa hospital.
Ukishambuliwa na Kichaa mmoja nanyie mpo saba hivi mkiwa mmevaa mabomu kabsa na bunduki mgongoni mtashindwa kumdhibiti??? Hahahahaha nacheka kwa dharau iliyochanganyikana na hasira!
 
Polisi wetu sijui mnaenda(GA) kusomea ujinga ktk mafunzo yenu?

Hivi inawezekana kweli kuwa mtu mmoja tena aliyedhoofu kiakili na kimwili mnashindwa kumshika na kumuweka chini ya ulinzi hadi mmpige risasi ya miguu na kichwa?

Tena askari zaidi ya 7 bunduki na mabomu yenu kweli?

Habari ilikuwa hivi, kijana aitwaye "Muungano Muyanji" wa Ikungi Singida ni mgonjwa wa akili kwa muda sasa. Jana asubuhi aliamka kichaa kikiwa kimepanda, alileta fujo nyumbani kwao na kumjeruhi mke wake na mama mwingine aitwaye mama Gire kwa kisu!

Baada ya tukio Hilo kutokea watu waliofika walimkabili na kumdhibiti kwa kumnyang'anya kisu alichosema nacho, na kumfunga kamba.

Polisi walipewa taarifa zote wakati tukio linafanyika ila walichelewa kufika, walipofika baaadaye tukioni walikuta mtuhumiwa (Kichaa) wamemfunga na kumdhibiti cha ajabu walipofika tu wakampiga risasi mbili za mguu kabla ya kumpiga nyingine ya kichwa na kufa hapo hapo! As if wanaua kenge fulani hivi!

Wananchi walichachamaa na kureact juu ya kitendo hicho! Polisi waliendelea kuwatishia wananchi wengine bunduki pia.

Walichofanya polisi waliuchukua mwili na kuupeka kituo cha afya Ikungi kabla ya wananchi kwenda kuuchukua mwili na kuuacha Barabara ya kituo cha polisi, hali hii mkuu wa wilaya aliingilia kati na mwili ulipelekwa hospitali ya mkoa Singida kuhifadhiwa.

Mpaka sasa hali sio nzuri, mwili umesuswa huko hospitali!

Waziri wa mapolisi Mwigulu Nchemba hawa vijana wako vipi?

Huku ndio kwenu kiongozi mtu hawezi kuuawa kishenzi namna hiyo as if mnaua paka mla nyama jikoni!

Chukua hatua!
71f20a5d4e9641089a8264e3d8cc33a0.jpg
Hakuna polis ambae anaweza kumpiga risasi mtu yoyote ambae tayar yupo ktk hali ya utulivu....walikuwa askar wawili ambapo huyo mtu alikuwa ameshawajeruhi watu kwa kisu polis walipoenda kutaka kumzuia hakuskia akawa anamfata polis amchinje yule askar akapiga risasi juu ila hakusikia askar akarud nyuma akaanguka yule jamaa akampiga kis askar na alipotaka kumpiga kisu kingine akatokea askari anaona kile kitendo ungekuwa wew askar ungeangalia mwenzio anavyofariki ba unauwezo wa kumuokoa.....
 
kama wamefanya hivyo wamekosea sana si vizuri;.. lala kwa amani muungano
 
Kama ni kweli wamemuua kichaa basi kuna laana inatembe juu hao watesi sio bure.
 
Hakuna polis ambae anaweza kumpiga risasi mtu yoyote ambae tayar yupo ktk hali ya utulivu....walikuwa askar wawili ambapo huyo mtu alikuwa ameshawajeruhi watu kwa kisu polis walipoenda kutaka kumzuia hakuskia akawa anamfata polis amchinje yule askar akapiga risasi juu ila hakusikia askar akarud nyuma akaanguka yule jamaa akampiga kis askar na alipotaka kumpiga kisu kingine akatokea askari anaona kile kitendo ungekuwa wew askar ungeangalia mwenzio anavyofariki ba unauwezo wa kumuokoa.....
Mapolisi mmeshageuza maneno, hayo yalifanyikia chumbani??

Uongo hautawasaidia kitu!
 
Hakuna polisi wa kumpiga risasi. Mtu ambaye amefungwa kamba, tena kichaa tena walipigiwa simu na kuambiwa taarifa za huyo kichaa.

Hii habari ni uzushi tu, anaweza kuwa ameuawa lakini si kwenye mazingira hayo uliyosema
Sasa si ulete mazingira ya kwako yenye uhakika? Bisha kwa hoja na sio kwa fikra tu....
 
Hili tatizo la magonjwa ya akili ni Janga maeneo ya Ikungi. Serikali kupitia Wizara ya Afya ielekeze nguvu kazi huko. Kuna vichaa wengi sana huko.
 
Polisi wetu sijui mnaenda(GA) kusomea ujinga ktk mafunzo yenu?

Hivi inawezekana kweli kuwa mtu mmoja tena aliyedhoofu kiakili na kimwili mnashindwa kumshika na kumuweka chini ya ulinzi hadi mmpige risasi ya miguu na kichwa?

Tena askari zaidi ya 7 bunduki na mabomu yenu kweli?

Habari ilikuwa hivi, kijana aitwaye "Muungano Muyanji" wa Ikungi Singida ni mgonjwa wa akili kwa muda sasa. Jana asubuhi aliamka kichaa kikiwa kimepanda, alileta fujo nyumbani kwao na kumjeruhi mke wake na mama mwingine aitwaye mama Gire kwa kisu!

Baada ya tukio Hilo kutokea watu waliofika walimkabili na kumdhibiti kwa kumnyang'anya kisu alichosema nacho, na kumfunga kamba.

Polisi walipewa taarifa zote wakati tukio linafanyika ila walichelewa kufika, walipofika baaadaye tukioni walikuta mtuhumiwa (Kichaa) wamemfunga na kumdhibiti cha ajabu walipofika tu wakampiga risasi mbili za mguu kabla ya kumpiga nyingine ya kichwa na kufa hapo hapo! As if wanaua kenge fulani hivi!

Wananchi walichachamaa na kureact juu ya kitendo hicho! Polisi waliendelea kuwatishia wananchi wengine bunduki pia.

Walichofanya polisi waliuchukua mwili na kuupeka kituo cha afya Ikungi kabla ya wananchi kwenda kuuchukua mwili na kuuacha Barabara ya kituo cha polisi, hali hii mkuu wa wilaya aliingilia kati na mwili ulipelekwa hospitali ya mkoa Singida kuhifadhiwa.

Mpaka sasa hali sio nzuri, mwili umesuswa huko hospitali!

Waziri wa mapolisi Mwigulu Nchemba hawa vijana wako vipi?

Huku ndio kwenu kiongozi mtu hawezi kuuawa kishenzi namna hiyo as if mnaua paka mla nyama jikoni!

Chukua hatua!
71f20a5d4e9641089a8264e3d8cc33a0.jpg
Ninajaribu kutafakari na kuvuta hisia sipati picha najiuliza swali lifuatayo;
1. Eti Polisi wamepigiwa simu na kujulishwa tukio na wamefika mtuhumiwa akiwa amedhibitiwa, tena na kufungwa kamba, halafu navuta picha mtu aliyefungwa kamba anavyokuwa, halafu polisi wanafika wanaanza kumpiga risasi mtuhumiwa tena zaidi ya moja. Jamani mimi binafsi napata mashaka na ukweli wa taarifa hii. Hebu tuwe na subira ili tupate taarifa sahihi.
 
Kila kitu kinatokea kwa sababu maalum tusubiri police nao waongee maana hii taarifa kama vile haijakamilika
 
Polisi wetu sijui mnaenda(GA) kusomea ujinga ktk mafunzo yenu?

Hivi inawezekana kweli kuwa mtu mmoja tena aliyedhoofu kiakili na kimwili mnashindwa kumshika na kumuweka chini ya ulinzi hadi mmpige risasi ya miguu na kichwa?

Tena askari zaidi ya 7 bunduki na mabomu yenu kweli?

Habari ilikuwa hivi, kijana aitwaye "Muungano Muyanji" wa Ikungi Singida ni mgonjwa wa akili kwa muda sasa. Jana asubuhi aliamka kichaa kikiwa kimepanda, alileta fujo nyumbani kwao na kumjeruhi mke wake na mama mwingine aitwaye mama Gire kwa kisu!

Baada ya tukio Hilo kutokea watu waliofika walimkabili na kumdhibiti kwa kumnyang'anya kisu alichosema nacho, na kumfunga kamba.

Polisi walipewa taarifa zote wakati tukio linafanyika ila walichelewa kufika, walipofika baaadaye tukioni walikuta mtuhumiwa (Kichaa) wamemfunga na kumdhibiti cha ajabu walipofika tu wakampiga risasi mbili za mguu kabla ya kumpiga nyingine ya kichwa na kufa hapo hapo! As if wanaua kenge fulani hivi!

Wananchi walichachamaa na kureact juu ya kitendo hicho! Polisi waliendelea kuwatishia wananchi wengine bunduki pia.

Walichofanya polisi waliuchukua mwili na kuupeka kituo cha afya Ikungi kabla ya wananchi kwenda kuuchukua mwili na kuuacha Barabara ya kituo cha polisi, hali hii mkuu wa wilaya aliingilia kati na mwili ulipelekwa hospitali ya mkoa Singida kuhifadhiwa.

Mpaka sasa hali sio nzuri, mwili umesuswa huko hospitali!

Waziri wa mapolisi Mwigulu Nchemba hawa vijana wako vipi?

Huku ndio kwenu kiongozi mtu hawezi kuuawa kishenzi namna hiyo as if mnaua paka mla nyama jikoni!

Chukua hatua!
Kwa mujibu wa hii taarifa hao polisi ndio wana matatizo ya akili(Vichaa) na sio marehemu.
 
Rpc atasema kichaa alianza kuwashambulia Polisi na wao wakajibu mapigo kwa kumpiga risasi na alifariki wakati akipelekwa hospital.

Hahahaa!!!!
Umewapatia kweli hahahaa.
Yani wao watu wote wanao wapiga hufia njiani kuelekea hospital.
Sijui huwa wanamaliziwa kwenye gari kuondoa usumbufu
 
Polisi wao wamesema ni sababu ipi iliyopelekea hayo yote?

Mkuu hakuna sababu inayo-justify askari kumpiga risasi mtu ambaye yuko chini ya ulinzi tayari, labda kama mleta maada kadanganya. Ila kwa polisi wetu hawa wa bongo anything can be possible.
 
Back
Top Bottom