Huyo sio ndugu yake kabisa na Tundu LISU kweli? Hebu wekeni picha wanaweza kuwa wanafanana sana
People's power
Ndugu wananchi tumekuwa tukipambana ktk kuikomboa Tanzania kiuchumi, kisiasa na Kijamii.
Watanzania wenzangu ni muda wa mabadiliko. Tanzania tunakabiliwa na maadui 4 wa maendeleo nao ni ccm, ujinga, maradhi na umasikini.
-Wananchi ccm ni mzigo na kimeshazeeka na hakifao kuwepo madarakani.
Angalien watoto wenu mnaowategemea wamefutiwa ajira, je huyo raisi ana nia ya dhati kweli kuikomboa Tanzania? Chagua Chadema kwa Maendeleo. Ajira za serikali zitakuwa zinatolewa mwezi wa 1 kwa kila mwaka tutaajiri watu weng sasa. Mkichagua Ccm mtabaki hiv hiv hakuna ajira. Huyo mnayemsifiwa kafuta ajira na hatoajiri. Nani kaajiriwa mpaka sasa?
-Suala la mikopo kwa wanafunzi limekuwa ni kilio, watoto wengi wanatoka ktk familia za chini. Onen watoto wenu wapo nyumbani sasa hivi na wamekosa mwelekeo kbsa. CHADEMA TUTATOA 50% KWA KILA MWANAFUNZI ANAYEINGIA CHUONI
-Suala la HELSB 15% tutarudisha ktk asilimia za mwanzo 8% na hii italeta haueni kwa wafanyakazi.
PEOPL'S POWER
Jaman ndugu wananchi increment zenu meshapewa? Nilishangaa sana watu weng bado wanakimbizana na chama kilichozoeeka na chenye mawazo ya kimasikini. !eo hii ni october 25, 2019 bado hamjapewa increment, hamjapandishwa madaraja. Polen sana kwa uhakiki wa wapiga dili wa ccm. CHAGUA CHADEMA KWA MAENDELEO YAKO
Walimu poleni sasa kwa kupigishwa deki, huu uuonevu mnabid muukomeshe kwa kuichagua chadema. People's power
Huyo mliyemchagua kafanya nn mpaka sasa hivi. Ona sasa sukari mnanunua 1 kilo kwa 3,000.
Wanakagera mpoooooooooooooooooooo
Najaribu tu Wala usiogope mwanaccm. 2019 itakuwa poa sana.