Singida: Hakimu Mfawidhi akamatwa akipokea rushwa

Singida: Hakimu Mfawidhi akamatwa akipokea rushwa

To start with....
Firstly:shauri lake lina dhamana....
secondly: anaweza kupigwa kifungo cha nje akipatikana na hatia...
Thirdly: mahakimu wanalindana...
hakuna mtu anafungwa jela hapo
lastly: tension ni kubwa kwasababu kesi ni mbichi baada ya miezi mitatu mkiisahau watu wanafanya yao.
Kwa makusudi kabisa atapigwa money laundering ili asipate dhamana. Inaonekana ni mshenzi sana huyu hakimu.

Kumbuka kuna mbakaji maarufu, yeye alikuwa anabaka hata akiwa nje kwa dhamana kesi zingine. Sasa kapigwa uhujumu uchumi, hakuna dhamana.
 
Naona Makamanda wa TAKUKURU wameamua kujipatia ujiko na kupanda vyeo kupitia Mahakimu. Nadhani sasa Mahakimu ni mda mwaafaka wa kutafuta mbinu za kivita za kudeal na hawa watu.
 
To start with....
Firstly:shauri lake lina dhamana....
secondly: anaweza kupigwa kifungo cha nje akipatikana na hatia...
Thirdly: mahakimu wanalindana...
hakuna mtu anafungwa jela hapo
lastly: tension ni kubwa kwasababu kesi ni mbichi baada ya miezi mitatu mkiisahau watu wanafanya yao.
Nakuunga mkono huyo atahamishwa tyuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom