Hata east Africa radio huwa wanaupiga kwenye vipindi vya supamix na planet bongo
#nyumban kwanza
well said ila nahisi muziki wa msaga sumu ni kategori tafauti.wao walianza na kigodoro ulikuwa kama wataratibu flani hivi refer (mama wakambo,rafiki wa kweli),then ikaibuka hii singeli yenye miondoko ya kuchangamka hivi (up tempo) hizi za akina man fongo.ni kama dancehall ilivyozaliwa kutoka kwenye reggeaeMsaga Sumu
Manfonga
Dogo Nigga
Hawa wahuni wanasogeza gurudumu la singeli hapa wale "Kanye & Kim wanna be" hawawezi kukuelewa maana wanauchukia huu muziki kinoma.