Singapore in Pictures

naskia wakati tunapata Uhuru 1961 tulikuwa nao sawa hao jamaa sijui over take walitupita wapi

Singapore ilikuwa ni kisiwa cha wavuvi.

Maliasili yao kubwa ni elimu.
Utajiri wao upo kwenye benki kama Uswisi.

Pia wanaenda nchi jirani kuwekeza kwa wingi. Wanauza mashine zao na ujuzi wa mambo mbalimbali.

Kati ya wakazi milioni 5.5, zaidi ya milioni mbili ni wageni (temp and permanent).
 

Siyo rahisi hivyo.

Rasilimali yao kubwa ni elimu.

Elimu bora, sheria zinazoheshimu biashara, mahakama zinazofanya kazi kulinda maslaha ya mfanyakazi na mfanyabiashara kwa kutowa hukumu haraka, mazingira yasiyo na rushwa na kubadili biashara haraka mazingira yakibadilika.

Asilimia kubwa la pato la nchi lipo kwenye biashara ya benki kama Uswisi. Lazima uwe na zaidi ya bandari nzuri ili wafanyabiashara wawekeze fedha zao au uchumi wa nchi ukuwe.
 
Duh! Nani alikudanganya Singapore ni Afrika?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

hujanielewa wewe. sijasema Singapore ipo Afrika bali nimesema mazingira ya afrika yafanana. Singapore ipo Asia we kichwa maji
 

Gharama za maisha zipoje ukilinganisha na Dar?
 

Maldives wanatumia Bandari na Utalii kuendesha nchi yao...

Sisi tuna kila kitu tumebaki tunashangaa...
 
naskia wakati tunapata Uhuru 1961 tulikuwa nao sawa hao jamaa sijui over take walitupita wapi

Wakati tunapata Uhuru Dubai ilikuwa worse than Tanzania...

Sasa hivi ni habari nyingine...
 

Jazia nyama hapo mkuu....

Is it among top tax heaven to be considered?

How efficient are they?
 
Gharama za maisha zipoje ukilinganisha na Dar?

Ni vigumu kukupa picha kamili Mkuu Bavaria.

Kwa ujumla, ni nchi iliyoendelea, gharama zake zinakuwa kubwa.

Ila kama unatalii, chakula ni rahisi. Usafiri wa treni au basi ni rahisi kwa mtu wa kawaida. (Wanatoza ushuru mkubwa magari ili watu watumie treni na kupunguza foleni, mazingira machafu na gharama ya mafuta).

Gharama za hoteli ni kama Tanzania. Kuna za $50 kwa siku na za $1000 kwa siku. Vyumba vidogo lakini. Ardhi ni adimu.

Kwa Mtalii wa hali ya chini, unaweza kutalii kwa wiki moja kwa US$1000.

Katika moja ya picha yako (garden by the bay) unalipa kiingilio na kupanda juu kwa lift. Unapata view nzuri ya mji.







 
Last edited by a moderator:
Jazia nyama hapo mkuu....

Is it among top tax heaven to be considered?

How efficient are they?

No inheritance or corporate gains taxes. Low business tax of 17% top.
So multinationals doing business in Asia park their earnings here to reduce taxes back home.

Officially, they deny being a tax haven. They are working to comply with American FATCA law and the European version to exchange customer information from their citizens.

Singapore has one of the world's most stable financial system. That is what attracts people and businesses from around the world. AAA credit rating doesn't hurt either.

They are extremely efficient. They are members of ASEAN, and do most of their business with the fellow members, especially Malaysia and Indonesia. Most super rich people in Asia park their money in Singapore. Even bribes are paid in Singaporean dollars not American in this part of the world.
 
Maisha mu ghali sana kule. Nilikuwa huko 2012 nikajuta, bora uswazi kwetu.
 

So, for a tanzanian parking your money here is not advised? Cause i see its most of Asian Trading Multinationals put their money here...
 
Mbongo tumekaa na uzombi watu wanapiga hatua daah?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…