kinachosikitisha ni namna ambavyo hakuna aliyeelewa namna msanii alivyotumia sanaa yake kufikisha ujumbe,
Sinemaa imeishaa kwa mchepuko wa sterling catwalk na police
sasa sterling anajiandaa aende kumuokoa dem wake alaf sasa ndio anakutana na adui kuu mr bunge
]
Huyu kijana ni sheeda. Picha kweli limeisha ilikuwa GSM VS Manji.Masoud ni mwehu
mbona kama watu wanatokea kwenye sehem ya kuingilia?Huyu kijana ni sheeda. Picha kweli limeisha ilikuwa GSM VS Manji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Starring kaingia mitini [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sinemaa imeishaa kwa mchepuko wa sterling kukamatwa na police