Sindano haina ubingwa

Mwenyewe alipenda aitwe Muhammad Ali

Alidanganywa kuwa Cassius Clay ni jina la kitumwa (wakati hilo ni jina la American General frontman katika kupinga utumwa lakini akajichagulia jina la bingwa wa kuchukua watumwa)!
 
Jamaa alistahili jibu hili mkuu huyo kiumbe nina bifu nae huoni comment yake haina adabu[emoji16][emoji16][emoji16]
Jifunze kupuuza mkuu, wewe ni kati ya wachache wadada ninao waheshimu sana. Humu ndani ukijifunza kupuuza, maisha yanabadilika na kuwa rahisi sana.
Anyway.... Good morning..!!
 
Jifunze kupuuza mkuu, wewe ni kati ya wachache wadada ninao waheshimu sana. Humu ndani ukijifunza kupuuza, maisha yanabadilika na kuwa rahisi sana.
Anyway.... Good morning..!!
Mimi nina udhaifu siwezi kuzuia hasira zangu na nikichukia niongee ama niandike hasira hapo zinaisha, Asante kwa ushauri.
Morning too mkuu
 
Mimi nina udhaifu sijui kuzuia hasira zangu na nikichukia niongee ama niandike hasira hapo zinaisha, Asante kwa ushauri.
Morning too mkuu
Ahsante Mungu kwa kutuunganisha.
Ebu basi naomba unifanyie wepesi kule PM ili nisikwame kwenye umaliziaji...[emoji23]
 
Ahsante Mungu kwa kutuunganisha.
Ebu basi naomba unifanyie wepesi kule PM ili nisikwame kwenye umaliziaji...[emoji23]
Omba kwanza ruhusa kwa bae wako kh.. e😁😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…