Sinagogi hili la Siloam Ministries

Shika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Wanapenda sana rangi nyeupe, juzi kati kuna mmoja alistaafu ofisini sasa kwenye farewell party yake alitaka zawadi yeyote atakayopewa ni lazima iwe ya rangi nyeupe hata ye mwenyewe siku hiyo alitinga suti nyeupe na viatu vyeupe
 
Kumbe wewe jirani yangu?
 
Ukienda pale ukiwa uneoa hiyo ndoa ni halam kwahiyo inafutwa mnafunga nyingine

Kuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hahahah hao watakua wanatafuta waumini wapya mkuu mana hata mi sioni haja ya spika kama wako watatu tu
 
mbuzi kaangukia kwa muuza supu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…