Sina usingizi

Sina usingizi

Mi mwenyewe sina usingizi kabisa na wala sifurahii kufanya chochote.
Humu jamvini nako kumepoa kweli. dah....!!!!
 
Nyie wote mkosao usingizi , tatizo lenu ni usimbe/useja ! Hamna wa kuwapapasa!
Viinilishe vyenu mpevipiga Ban, havipati pa kutokea!

We kila comment yako inakuwa imegota chini tu!
Rudi kasome vizuri baiolojia.
 
Back
Top Bottom