Sina usingizi mpenzi wangu hapokei cm...

Sina usingizi mpenzi wangu hapokei cm...

Jaman unawaza unaibiwaa halaf unakata tamaa mapemaa hiv loll
 
shemeji yako analala na wadogo zake halafu chumba chake kipo karibu na chumba cha baba so anaogopa kuongewa asije akasikiwa halafu ikawa msala....
Nataka niongee na shemeji apokee simu ya kaka
 
shemeji yako analala na wadogo zake halafu chumba chake kipo karibu na chumba cha baba so anaogopa kuongewa asije akasikiwa halafu ikawa msala....

Jibu zuri kwa mtoa mada, leo inabidi aupinde tu
 
Utalalaje week end yote hii? Kwanza Yuko kwenye makelele samaki samaki Samora hawezi kupokea simu' halafu viti vimejaa, amefadhiriwa na jamaa amepakatwa maana amesimama muda mrefu sana.
 
Utapata stress ndugu,learn to trust and have confidence in you! Kitu kimoja nilijifunza ili kuwa na amani, always think positive basi utajikuta una amani. Usk mwema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom