Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

Huyu konde kuna clip nimeiona anampiga masindikizi mdada wa watu kwenye stage ni hatari
 
Hili ni gubu analokuwa nalo mwanamke anapoachwa na mumewe .

Duke zima limejaa chuki na wivu badilika wewe
 
Yaani "SIKOMI" unafananisha na maujinga ya harmonize.

Hivi nikikwambia nyimbo ya "NIACHE" diamond alikuwa amemwambia nani amwache utanijibu ?

Jua kutofautisha nyimbo za usengenyaji na nyimbo za hisia za mapenzi mtu bibafsi.
Chinga aliyeimbwa kazidi ubonge badala ya kipaji ni nani?
 
Sijasoma uzi wote ila Kiufupi niseme wanaume tufanye kazi kwa bidii mambo ya kumfuatilia mtu asiekujua na kuja kuandika kitabu kizima J.F hizo ni dalili za kukosa kazi na kukaa kwa shemeji
 
Huo muda wa kuandika gazeti lefu kama hili kumdiss mwanaume mwezako umeotoa wapi au wewe ni she?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…