Mume wako hana makosa hapo, makosa anayo huyo bi shosti wako
kivipi?mume wako hana makosa hapo, makosa anayo huyo bi shosti wako
Mume wako hana makosa hapo, makosa anayo huyo bi shosti wako
YN AMKALISHE CHINI WAONGEE HALAFU AMSAMEHE!? kirahisirahisi hivyo? NACHUKIA SANA MFUMO DUME, ingekua ni huyo dada amegundulika anamahusiano na rafiki wa mume wake mumewe angemsamehe kirahisi hivyo?Pole sana na hayo madhila Da'Misguided. Mkalishe chini huyo mumeo uongee naye halafu umsamehe muendelee na maisha yenu.
sasa hukumuuliza shosti yako kwa nini? Ulipaswa kukata mzizi wa fitna! Shoga yako anajua kuwa huyo anayemuita mpz ni mumeo? Kama anamjua na wewe umelifumbia macho hilo swala una tatizo wewe. .
Halafu wanaume mbona hamna haya wala adabu?wanawake wote waliojaa mpaka utembee na shoga wa mkeo?
YN AMSAMEHE KIRAHISI NA TABASAMU ZITO KESHO ATATEMBEA NA NDUGU WA MKE WAKE! wanaume sijui mkojemwelezo kwa upole ili ajue kuwa umejua. Kisha endelea na life kama kawaida bila kumwonyesha hasira. Jitahidi kupendeza na kutabasamu kila mara.
Asante ndugu yangu.Pole sana na hayo madhila Da'Misguided. Mkalishe chini huyo mumeo uongee naye halafu umsamehe muendelee na maisha yenu.
Ujasiri ndugu yangu ujasiri.Ungeongea naye 2 ukijidai wewe ndo hy rafiki yk hlf mwisho umjulishe kuwa wewe ni mkewe na umeshagundua mahusiano yake na rafiki yako! HAPO MUVI NDO LINAANZA SASA
Ni rafiki yangu wa karibu sana kwahiyo wanafahamiana kupitia mimi.Sio kwamba nimelifumbia macho ila nafikiria ntawauliza vipi wakati sina ushahidi mkononi?Si wataishia kuruka futi kumi kwamba sio kweli?sasa hukumuuliza
shosti yako kwa nini? Ulipaswa kukata mzizi wa fitna! Shoga yako anajua kuwa huyo anayemuita mpz ni mumeo? Kama anamjua na wewe umelifumbia macho hilo swala una tatizo wewe. .
Halafu wanaume mbona hamna haya wala adabu?wanawake wote waliojaa mpaka utembee na shoga wa mkeo?
Ahhh hata sijui nini kinawezekana na nini hakiwezekani tena. Hapa nilipo natamani hata angekua katembea na mtu mwingine na sio rafiki yangu.Kweli kua uyaone.mwelezo kwa upole ili ajue kuwa umejua. Kisha endelea na life kama kawaida bila kumwonyesha hasira. Jitahidi kupendeza na kutabasamu kila mara.
Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.pole sana dada kwa yaliyokukuta,mushukuru mungu kwa kila jamboCha msingi kaza maombi kama mungu kapanga kuwa huyo ni mmeo wa maisha, atazunguka kote lkn atarudi kwakoPunguza hasira kwa sasa subiri mda upite kidogo then chukua simu ya mmeo uone kama kna msg zake anazochati na huyo rafiki yako muulize kwan utakuwa na uthibitisho la sivyo utazua ugomvi mwingine na mmeo