Nikipumua pumzi inaniumiza shingoni hewa ninayoingiza na kutoa H pylol ni positive nina maumivu ya kifua pia pumzi yangu ipo slowly yani kiujumla tu hema yangu sio ya kawaida msaada tafadhari nilitumia heligo kit hazijanisaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app