Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,712
anapika saa ngapi?!!
Obvious itakuwa Housegirl aka da Mariamu..
anapika saa ngapi?!!
Junior;
Kwani kuwahi ni nini? Mbona tupo tunaochelewa kila siku tena hatuulizwi tulikuwa wapi?? Nasema, ukianza kumchunguza akichelewa mda si mrefu utamnyima kazi halafu baadaye utampiga marufuku kwenda sokoni na mwisho utamwondolea marafiki.
Utamuua bure na mawazo. Mwache ajiachie na marafikize, usiogope mkeo ni mkeo tu. Kuchelewa kurudi kama alikuwa anachart na marafiki si mbaya. Mshauri kuwa awakaribishe pia kwake si kila siku huko huko
kuchelewa kila siku!??? tena hauulizwi.... ah muangalie huyo mume isije kuwa kuna mpango wa kando anaupiga!!!!
mwanaume lazima adoubt banah kama kweli anaupendo na ata hivyo haipendezi urudi kila siku ukute mume kishafika
Fanya hivo itakusaidia....Hahahahahahah hiyo nayo iko poa.
Hiyo avatar yako mmmh hadi nawaza mengineNoma sana.
Mpeleke kwa Gwajima
Hizi ndoa jamani kha!
Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!
Junior;
Naomba nikuongezee. Nunua jiko la gas, halafu akija akute umeinjika ugali na unaanza kuandaa meza. Wala usiseme naye, pakuwa, mkaribishe vizuri tu tena kwa tabasamu.
Kwani kabla ya kuja ulikuwa huli? Mkaribishe. Mwenyewe atahama mji, kama ana limjamaa atahama mji na adabu tele kwako. Unapo mgasi umechelewa wapi, umetoka wapi, ulikuwa na nani hayo humpa kibyongo. Kupigana hakupo tena leo.
Mie mzima best.Duh! Kumbe ule musemo 'dawa ya moto ni moto' bado unafanya kazi eeh?!!
btw, umzima weye? Nimekumisi kinyama!
Mtoto mzuri watu ka hawa ndo wanatusababishia matatizo..Badilisha kitasa cha mlango afu usimpe funguo.....
Ndoa majanga hiyo ya jamaa! Sijui wote watoto tupu wameoana?!
Ha ha ha ha...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
We mleta mada Kama umeshindwa kutatua tatizo dogo hilo basi na wewe ni tatizo! Wewe ni mwanaume ulokamilika kweli?
Mna watoto wangapi?na chakula nani anaandaa?
jibu hayo maswali tukupe mbinu sisi wataalam.
Lowassa ni mtu wa pupa, hajatulia kimawazo na kimaamuzi. mfano mdogo suala la mvua ya kutengeneza kule Thailanda.
kwasababu ya pupa, akashindwa kujiuliza swali dogo: kwanini mvua za kutengeneza hazijatumika katika mataifa yanayokabiliwa na ukame wa mara kwa mara kuliko sisi watanzania?
kwasababu ya pupa, akashindwa kuuliza ni nini athari za kemikali za mvua ya kutengeneza katika viumbe[wanyama, wadudu, mimea] pamoja na udongo wa eneo itakaponyesha.
kwasababu ya pupa, Lowassa amewakaribisha watailand kuja kutufanya guinea pigs wa utafiti wao.