Sina raha na mpenzi wangu!

Sina raha na mpenzi wangu!

Inategemea na shughuli anayofanya na umbali ila ushauri wangu...ukiendekeza wivu katika mapenzi utakua mtumwa na utaona kama anakudharau cha msingi kama karudi salama shukuru maisha yaendelee
 
Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!
Hiyo inafanya kazi kabisa.
 
Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!
Hiyo ndio kete ya mwisho iliyobaki. Na yeye ajitoe ufaham
 
Yani jambo kama hilo unata ushauri kweli! Bro ishu ya wewe na mke inaongeleka tu ila ingekewa kimada ingekuwa sawa.....MATIZO YA NDOA NI YAWANA NDOA
 
Back
Top Bottom