Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
- Thread starter
- #21
umekaa nae chini ukamweleza juu ya hilo? ni mara ngapi umekaa nae na mkazungumza juu ya hilo tatizo lake?
Nimekaa nae mara tatu akanambia hatorudia lakini hali haibadiliki iko vile vile