Sina raha na mpenzi wangu!

Sina raha na mpenzi wangu!

Hi wana JF bila shaka mko poa na wazima wa afya njema!!!
Naombeni mawazo yenu!
Mke wangu hazingatii muda wa kurudi nyumbani nifanyeje?????

Hazingatii kivip labda? Foleni njiani au anachelewa muda mrefu zaid?
Kama anafanya hivyo ni dharau kubwa sana kama wewe ndio m/me, mrudishe kwao kwanza akajifunze


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
yaaani wewe ndo unawahi kuliko wife... tafuta ata kijiwe cha karibu meku uwe unateremsha serengeti baridi mpaka arudi usije kuonekana baba wa nyumbani
 
Umeshindwa kabisa kutatua hili suala mwenyewe....?
 
Back
Top Bottom