Sina raha na dunia hii tena

Sina raha na dunia hii tena

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari wakuu,

Naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku, tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja.

Ila ikitokea tunaachana usiku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubali kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana.

Naombeni ushauri ndugu zangu yani hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa moody ya kusoma nahisi nitafeli tena.

Naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani.
 
Hmm...let me see.

Hopeless romantic much? Maybe...

Puppy love syndrome? Could be...

Nevertheless, with the passage of time the dopamine will fade and you'll come to your senses.

Just hope it's not too late when that comes to pass.
 
Wewe sasa kama ushaambiwa uachane nae hutaki unasema umeshindwa. Basi we endelea nae tu ufeli
 
Duh! Sasa hapo uamuzi sio rahisi. Chagua either kusuka au kunyoa. Kama unapenda shule achana naye kama unapenda mapenzi endelea naye... Kuna jamaa alikuwa anaendekeza mapenzi, wacha apigwe supp tano wakati dem wake katuzua.
 
Wewe sasa kama ushaambiwa uachane nae hutaki unasema umeshindwa. Basi we endelea nae tu ufeli
Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya
 
Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya
We shikilia msimamo wako acha woga wewe. Hawez kujiua. Kwan mwanaume uko mwenyewe?
 
"For love is as strong as death, its jealousy as enduring as the grave. Love flashes like fire, the brightest kind of flame." - Song of Solomon 8:6b

Be aware!!!
 
Hurt is just another part of life. Eventually you pick yourself up, dust yourself off and learn to live with it and eventually see a brighter day.!
 
maisha ni kuchagua. Wewe ndo una final choice. kuna scale of preference ukihis mapenz ndo priority just go on
 
Back
Top Bottom