Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,608
- 8,046
😄😄Kabisa maisha yapo juu sana..Kama umetoka nyanda za juu kusini usiende Arusha utajuta…😂
😄😄Kabisa maisha yapo juu sana..Kama umetoka nyanda za juu kusini usiende Arusha utajuta…😂
Na mji unaendeshwa kindugu😂😄😄Kabisa maisha yapo juu sana..
Bila shaka umeajiliwa, walio kwenye mfumo wa ajira mkoani ni patamu sana.Toka nimesepa Dar sijawahi kupamiss..
Maisha ya mkoani yamenibamba 🥰
Tunaanzisha thread mimi na nani mkuu.??Lakini Huwa mnaazisha thread za kuwaponda watu wa Dar?
Soko halimtupi mja wake lile! Muhimu asichague kazi tu.Kama unakja bila chanel nenda mahakama ya ndizi utakuja kunishukuru.
Upo mkoa gani kwa sasa?Toka nimesepa Dar sijawahi kupamiss..
Maisha ya mkoani yamenibamba![]()
Hahahaa!! kwann bossKama umetoka nyanda za juu kusini usiende Arusha utajuta…![]()
The Geneva of AfricaUpo mkoa gani kwa sasa?
Safi sanaThe Geneva of Africa
Ndugu zako wa Mkoani!Njoo huku mjini upambane,akili inakuwa active muda wote.Tunaanzisha thread mimi na nani mkuu.??
Yaan … formation ya maisha ya kusini na kaskazini ni vitu viwili tofauti😂Hahahaa!! kwann boss
Penye mapungufu lazima wasemwe na mengi yasemwayo yana ukweli ndani yake, wewe ni wa dar?Ndugu zako wa Mkoani!Njoo huku mjini upambane,akili inakuwa active muda wote.