- Thread starter
- #21
Asante kwa ramani mkuu, una maana mabibo au buguruni??Kama unakja bila chanel nenda mahakama ya ndizi utakuja kunishukuru.
Asante kwa ramani mkuu, una maana mabibo au buguruni??Kama unakja bila chanel nenda mahakama ya ndizi utakuja kunishukuru.
Maisha popote njoo ujaribu bahati yakoNaamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Huyo anakuja Dar kutafuta pesa, huku Mbeya hakuna pesa kuna vyakula vingi, shida yake ni kutafuta pesa na si chakula.View attachment 2612231
Kama vipi nenda Mbeya mkuu huku Dar kwa moto sana.
Wakati nafanya kazi huko ilikuwa saa 11 alfajiri nakuwa barabarani kuwahi foleni, wakati huko mkoani muda huo ni wa Morning glory 🤪🏃🏃🏃Tatizo la Dar ni Usafiri tu otherwise maisha ni namna unavyochagua wewe kuishi.
Lakini Huwa mnaazisha thread za kuwaponda watu wa Dar?Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
na lile jua 😂Tatizo la Dar ni Usafiri tu otherwise maisha ni namna unavyochagua wewe kuishi.
Linachoma kama pasi aisee.na lile jua 😂
Hakikisha Una sehemu ya Kula na kulala free angalau Kwa miez 6 , make sure
Wasikutishe tamaa karibu Dar, huku unaweza kuishi hata kwa upambe siku hizi wanaitwa chawa.Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Mm nitakupokea,uwe unalala ila kula kwakoNaamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Kama umetoka nyanda za juu kusini usiende Arusha utajuta…😂Usiende dar njoo Arusha
Utakuwa kunishukuru badae kabisa
Ndio utaratibu wa maisha, wengine wanatoka New York kuna Dar na wa Dar anakwenda New York.Mimi nataka kutoka dar kwenda mwanza, wewe unakuja dar