Sina mtu! nataka mtu?

dah! unamwambia tu huna mtu ila haupo available. teheeee!
 

....mnh Smile,....kabla sijakujibu naomba uchungulie hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/370806-friends-with-sex-benefits.html

Mjibu ukweli tu kuwa una Mtu hata kama hujaamua kuji commit nae.
 
Last edited by a moderator:
ongea naye...mweleze hisia zako na umwambie kama hana malengo awe tayari nafasi yake kuchukuliwa!!! suluhisho ni kuuvunja ukimya tu...
 
Kuwa na mtu au kutokuwa na mtu itaonyesha ni jinsi gani unamthamini uliye naye. Binafsi nikisikia demu wangu anatangaza yupo single nasepa kwa kuwa lazma ntamuhisi ni Malaya. Tambua kwamba unapoamua kusema huna mtu wakati unae basi unamshusha thamani kubwa sana uliye naye na usifanye hivyo bidada haswa kama unampenda. Mwambie anayekuuliza nina mtu lakini ndoa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…