una mtu.
Lakini hii haikuzuii kuangalia kama mtu uliye nae ana mpango wowote na wewe au lah.
Pengine kuondoa mkanganyiko huu ni bora kama ukiona haeleweki ukaachana nae mapema hili ujue kabisa wewe ni single.
Lakini kumkubalimwingine wakati ujavunja mahusiano ya zamani pengine ni un fair na inaweza ikakuletea tatizo.
ikiwa una mtu ila waona hamuendani, hapo tu akija kati ndiyo yale a kuanza kuongopa, ukipimia upepo!eti kaka utasema una mtu mtu gani sasa?
hivi mwanamke anaruhusiwa kumwambia mwanaume tufunge ndoa? hata ukimwambia si atasema tu subiri mbeleni? nA HUKO MBELENI NANI AJUAEKeyser Söze;8115997 said:mpo mpo kivip? kwan kama unataka kuolewa/kuoa si unamwambia huyo mtu mi kwa sasa nataka uhusiano uende next stage! akikataa ndo uamue kuachana naye na kuwa na mwingine! sababu hata huyo aliyekutongoza afu umkubalie and then siku nyingine akukute na huyo ambaye mnasema tupotupo ndo umwambie eti hapa hamna kitu ila huyu tupo tupo unafikiri atakuelewa?
sasa hivi nina bonge la mbebswa ukweeeh . . . . Amenyokaaaazzzzz, kama vipi nyani ngabu ujipange upya.
smile inakuwaje mtu wangu? Umenitosa?
teh halafu jamaa akija kukuuliza unasema ulilazimishwa na wazazisaa zingine kama upo kwenye uhusiano ambao huoni future mtu yupoyupo tu na anakomaa na ushumba sugu, mdada unatakiwa kwanza jiridhishe kuwa kweli hapo hakuna future yeyote, na wewe mwenyewe pia uwe tayari kuwa mke sio tena usista duu unauzidisha. Kama unajiamini kuwa upo tayari kuwa mke halafu jamaa hesabu zake hazijumlishiki basi kama anakuja mwingine na unaamini kuwa ana malengo mazuri wewe basi kula kichwa tu.
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!
Basi sawa. Mie napita tu kuelekea rock beach kwa wachina. Utanikuta kwenye vile vimsonge
Bachelorettes
Kweli aisee hapa hauna mtu....
ila mbona wengine huwa wanasema ukweli kabisa......mi nakumbuka nilipokuwa chuo nikakutana na msichana fulani na katika kutongozana akanitamkia bila kumung'unya maneno ilikuwa ivi (just part of conversation)
mimi: una mtu?
msichana :sina mtu
mimi: how come binti mzuri kama wewe unakosa mtu and unaishije kwa kukidhi haja zako .
msichana : kutokuwa na mtu haimaanishi sifanyi s.e.x
mimi: ehhhhe!
msichana : yah sina mtu kwa sasa na wala siko kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sasa but i just f.u.ck somebody
mimi : somebody!?
msichana : yah somebody ...ni mtu ambaye ikitokea mimi nina hamu na yeye anahamu na wote tukawa nanafasi basi tunatoka kwa ajili ya s.e.x ila sio mahusiano