Sina imani tena na Chadema

Huwai kuwa na imani na CDM wala hukuwai hata kuwa na imani ya dini yoyote. coz hujui imani ni nini.
 
Na ndio maana kuna vyama vingi hivyo una haki ya kutokuwa na imani nao ila utambue kwamba katika kutafuta haki yako unatakiwa uanze wewe ili wanasiasa wadandie hoja kwa kuweka shinikizo kwa mamlaka husika na si kutegeme CDM pekee waje wapiganie zao la pamba wakati wewe hujaoinyesha
 
Maneno haya si ya mtu mwenye akili timamu. Huyu kapoteza mwelekeo, crazy guy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…