eno m
Member
- Nov 4, 2014
- 30
- 8
Stay strong big broMimi kwa kweli kazi yangu ni boda boda yaani ukikanyaga tu ushirombo mjini huku mkoani Geita ukiuliza Big yuko wapi hakuna asienijua.
Tuachane na hayo nattoa visa vi 5 tu vilivyonifanya nisiwe na imani na mwanamke,
1 MY WIFE katika maisha yake nilijitolea kumsaidia ila kimbembe kilianza alipotoroka na kwebda nasumbwe nikapoteza muda na pesa kumtafuta nikampata na baada ya kumpata tulisumu katika ndoa miezi 9 tu akatoroka tena bila sababu ya msingi anyway nishsmsahau niiahie hapa kwa no 1.
2 Ninapopaki pikipiki i mean kijiweni kuna mzee anamiliki bar kuns siku kaniambia mchukue huyu mmama 30s yrs mpeleke kwake halatu ukirudi uje uchukue hela kwangu
Basi bana kwani hata kwa huyo nmama nikifika!!!
Kufika maeneo ya halmashauri akapigiwa simu na jamaa flani ni mchimbaji akaniambia nisimwambie yule mzee
Dah hapo ndi nikaanini mapenzi sio pesa na mpaka leo mzee wa watu hajui lolote , very sad...
3 MKE WA DEREVA WA SEMI huyu bi mdada bana yaani mumewe kamweka ndani nyumbs safi ila ayatendayo mkewe huku nayajua mimi na mkewe tu tull kudanga full kuponbeshwa na kuliwa kama sio mke wa mtu vile dahhh....
4 MMAMA MWARABU huyu bana ni nmama kabisa 40s yrs nilipi mbeba mara ya kwanza akaniambia nimpeleke HM G HOUSE mama wee kabla hajaingia ndani akapigiwa simu na mwabaume mwingine matusi aliyotoa yule nmana sikutegemea
Nanukuu "fa?a msen== wewe mi ndo naenda kuti##@ sina nuda na wewe" Duhhh mpaka leo siamini kama kuna mwanamke asie cheat
Never hayupo
5 JASMIN huyu mdada ni mgeni humu town katokea TABORA ni mdabgaji hatari ipo hivi alinichukua nimpeleke DM akaenda kuliwa after 2 hours akarudi tena vatcan tunapopaki pikupiki after few minutes akaniambia nimpeleke wadutya nikampeleka na kumuacha nuko mida kama ya saa 9 (tisa) usiku akaniambia nimsindikize kwake mabenga b g house anapikaa nikaona sio mbaya kwa vile ni kama mita 600 nikampeleka ile tunafika namwambiia shuka hataki aka an a kuniambia big nakupenda mi nikajiwazia tu huyu mdada anadhani mimi ni nyanya eene wakuchotwa akili kipuuzi puuzi tu,
Sikutaka achukie nikamjibi poa nimekuelewa tutaongea kesho akaahuka japo kideko mahaba na kishingo upande mi nikawaaha CHUMA nikatembea huyooo.
MDADA WA KUNISHAWISHI KUMUAMINI LABDA ASHUSHWE TOKA MBINGUNI
NI HIVYO YAANI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kijiweni kwao keshasimlia sanaKibaya nilichochukia n kwamba umewafahamu wanawake wanne tu umekuja kutoa siri huku je ukiwajua kumi itakuwaje
Hebu piga kaz hayo mengne achna nayo watu wapo kazini bhn
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya wasalimie kina Selemani kota na kina Lushinge! Vipi Vatcan bado wanachoma kuku wa kienyeji?Mimi kwa kweli kazi yangu ni boda boda yaani ukikanyaga tu ushirombo mjini huku mkoani Geita ukiuliza Big yuko wapi hakuna asienijua.
Tuachane na hayo nattoa visa vi 5 tu vilivyonifanya nisiwe na imani na mwanamke,
1 MY WIFE katika maisha yake nilijitolea kumsaidia ila kimbembe kilianza alipotoroka na kwebda nasumbwe nikapoteza muda na pesa kumtafuta nikampata na baada ya kumpata tulisumu katika ndoa miezi 9 tu akatoroka tena bila sababu ya msingi anyway nishsmsahau niiahie hapa kwa no 1.
2 Ninapopaki pikipiki i mean kijiweni kuna mzee anamiliki bar kuns siku kaniambia mchukue huyu mmama 30s yrs mpeleke kwake halatu ukirudi uje uchukue hela kwangu
Basi bana kwani hata kwa huyo nmama nikifika!!!
Kufika maeneo ya halmashauri akapigiwa simu na jamaa flani ni mchimbaji akaniambia nisimwambie yule mzee
Dah hapo ndi nikaanini mapenzi sio pesa na mpaka leo mzee wa watu hajui lolote , very sad...
3 MKE WA DEREVA WA SEMI huyu bi mdada bana yaani mumewe kamweka ndani nyumbs safi ila ayatendayo mkewe huku nayajua mimi na mkewe tu tull kudanga full kuponbeshwa na kuliwa kama sio mke wa mtu vile dahhh....
4 MMAMA MWARABU huyu bana ni nmama kabisa 40s yrs nilipi mbeba mara ya kwanza akaniambia nimpeleke HM G HOUSE mama wee kabla hajaingia ndani akapigiwa simu na mwabaume mwingine matusi aliyotoa yule nmana sikutegemea
Nanukuu "fa?a msen== wewe mi ndo naenda kuti##@ sina nuda na wewe" Duhhh mpaka leo siamini kama kuna mwanamke asie cheat
Never hayupo
5 JASMIN huyu mdada ni mgeni humu town katokea TABORA ni mdabgaji hatari ipo hivi alinichukua nimpeleke DM akaenda kuliwa after 2 hours akarudi tena vatcan tunapopaki pikupiki after few minutes akaniambia nimpeleke wadutya nikampeleka na kumuacha nuko mida kama ya saa 9 (tisa) usiku akaniambia nimsindikize kwake mabenga b g house anapikaa nikaona sio mbaya kwa vile ni kama mita 600 nikampeleka ile tunafika namwambiia shuka hataki aka an a kuniambia big nakupenda mi nikajiwazia tu huyu mdada anadhani mimi ni nyanya eene wakuchotwa akili kipuuzi puuzi tu,
Sikutaka achukie nikamjibi poa nimekuelewa tutaongea kesho akaahuka japo kideko mahaba na kishingo upande mi nikawaaha CHUMA nikatembea huyooo.
MDADA WA KUNISHAWISHI KUMUAMINI LABDA ASHUSHWE TOKA MBINGUNI
NI HIVYO YAANI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu alikatazwa asitafute pesa ilhali ana moving shop???? Wanatuma adi mikoani babu weee
Kila mtu ana namna ya kustrugle best usipende tufanane kwa hapa kazi tuMkuu mbona unatetea sana hiyo moving shop!
Struggle For Success!
Hapa Kazi tu.
Hapana ni kwamba kazi yake inahusisha sana wanawake ambao ndo wateja wakeSawa Big naona umewekeza maisha yako kufuatilia maisha ya wanawake
Kila mtu ana namna ya kustrugle best usipende tufanane kwa hapa kazi tu
Hapana ni kwamba kazi yake inahusisha sana wanawake ambao ndo wateja wake
Mh big unajikosha hahahahahhHAHAHAAA MKUU YEYE NDO ATAKUWA NA BWAWA I TRUST IM COMPLETELY OKKK VERY OKKKKK
Sent using Jamii Forums mobile app