Sina imani na kiumbe anaeitwa mwanamke

Sina imani na kiumbe anaeitwa mwanamke

Sio wanawake wote wako hivo mkuu, hata hivyo wapo Malaya zaidi ya hao, utaendelea kushuhudia Ila kuwa mvumilivu, halafu mkuu ilibaki kidogo ule tunda kimasihara kwa huyo Malaya wa mwisho[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo ndio umalaya wenyewe wewe umeolewa kwanini usirdhike na maisha ya mimeoo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaridhika na maisha ya baba mzazi tu sio ya mume! Kuolewa ni kubadili status tu but other things remain the same 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 umalaya ni brand ambayo ni ngumu kuitengeneza ukiona mtu anaitwa malaya amepitia mengi
 
@EINSTAIN112 mkuu hata mimi nashangaa haya mashambulizi ya kushtukiza yametoka wapi au ndo tuseme jiwe moja ndege kumi
 
AISEE NAZIDI KUTHIBITUSHA UHAKIKA WA FIKIRIO LANGU

SIOI TENA
Mtu anaridhika na maisha ya baba mzazi tu sio ya mume! Kuolewa ni kubadili status tu but other things remain the same [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umalaya ni brand ambayo ni ngumu kuitengeneza ukiona mtu anaitwa malaya amepitia mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanaona wamemchukia mleta mada ghafla huku wakisahau kua yy ni bodaboda..

Ni ukweli usiopinginga kua madereva boda wanatembea na siri nyingi sana za wake za watu ata za wanaume laiti nyie mnaowaponda boda boda kwa kua wambea na jinzi unapokatiza kijiweni kwao wanavyokuurumia usingeongea kitu!

Namshauri mleta uzi aje na uzi wa kudumu wa madereva bodaboda na jinzi wanavyobeba siri nyingi moyoni!

Mi nawapenda hawa mabodaboda ba texi jaman wanatunza siri mnoo na mleta sio mbea ni anashangaa tu baadhi ya mambo machache aliyoyaona kwa wanawake atulie ataona meeengi
 
Dereva texi mmoja nliunganishwa na hawara angu, afu nkaja nkamuunganisha na mchumba wangu na woote walikuwa wanampenda sana jamaa nakushukuru sana braza D ulinitunzia siri nyingi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 alijisemea shouger angu mmoja
 
MKUU KATIKA WATU WENYE UPEO MKUBWA WA KUFIKIRIA NI WEWE KATI YA WOTE WALIOCHANGIA UZI HUU YAANI HUWA NAMUONEA HURUMA KIJANA MWENZANGU ANAEKUJA KUCHUKUA DADA WA HAPO BAR ILA NAISHIA KUSONONEKA MOYONI TU
Kuna watu wanaona wamemchukia mleta mada ghafla huku wakisahau kua yy ni bodaboda..

Ni ukweli usiopinginga kua madereva boda wanatembea na siri nyingi sana za wake za watu ata za wanaume laiti nyie mnaowaponda boda boda kwa kua wambea na jinzi unapokatiza kijiweni kwao wanavyokuurumia usingeongea kitu!

Namshauri mleta uzi aje na uzi wa kudumu wa madereva bodaboda na jinzi wanavyobeba siri nyingi moyoni!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibaya nilichochukia n kwamba umewafahamu wanawake wanne tu umekuja kutoa siri huku je ukiwajua kumi itakuwaje

Hebu piga kaz hayo mengne achna nayo watu wapo kazini bhn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umezingua dizaini ku expose majina ya watu na sehemu wanazotembelea. Anyways fata mambo yako usipende kufuatilia mambo ya watu wengine sio jambo zuri. Wewe observe kisha chukua hatua sahihi kwa manufaa yako wewe, mambo mengine waachie wahusika wenyewe.
 
BIG kwa uandishi huo wa hovyo hovyo huwezi kumuamini mwanamke,.pole.
 
MKUU MUDA WA KUKAA NA KUANDIKA MATUKIO YOIEE NILIYOYASHUHUDIA NAUTOA WAPIII???

KAKA KABKA WWEWE DEMU HUJAMCHUKUA LEO MI NAJUA JANA KAPITA MAPANGO MANGAPI
HAHAHAAA KUWA MPOLE

Back
Top Bottom