Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Ndio nani huyo tena? Mi sijui watu wa jina kama hizo!
Mi namjua Ninazo bin Nikukope?
Hua namuona kwa mbali tu huyo. Rafiki mbaya sana, simtakiitabidi unitambulishe kwake aisee, mimi sina hela ni zaidi ya rafiki kwangu, ila ni msumbufu sana
hahaha ndo hapo nakokupendea mwali hapo tu huwa unanipa amani pale inapokosekana hebu nitumie namba ya huyo rafiki mwemaHua namuona kwa mbali tu huyo. Rafiki mbaya sana, simtaki
Atakushawishi na usipo kua na personality ya nguvu
Utajikuta amekupeleka kusiko... Ngoja nikupe number ya sim
ya huyu Ninazo bin Nikukope. Atakusaidia sana kuongeza confidence. lol
Hua namuona kwa mbali tu huyo. Rafiki mbaya sana, simtaki
Atakushawishi na usipo kua na personality ya nguvu
Utajikuta amekupeleka kusiko... Ngoja nikupe number ya sim
ya huyu Ninazo bin Nikukope. Atakusaidia sana kuongeza confidence. lol
mboni mwenzio kamzoea na daily wapo wote..
kuhusu ninazo bin nikukope hujui huyu hapendani kabisa na sina hela..
On the contrary. Kama wewe ni rafiki wa ninazo,mboni mwenzio kamzoea na daily wapo wote..
kuhusu ninazo bin nikukope hujui huyu hapendani kabisa na sina hela..
Duh. Pole wee..!
On the contrary. Kama wewe ni rafiki wa ninazo,
kila siku atakulazimisha ukamtembelee Sina.
Hawaachani wale, ukiona mmoja mwenzie yupo karibu.
Au vipi Kabbie?
khaa jamani ex-huby ndo umenitenda hivi?
khaaa!kwenye makiss mtalaka hatongozi tukija kwa huyu rafiki yangu kipenzi SH ndo tunakimbiana? lolbuzi limekata kamba, lol...
khaaa!kwenye makiss mtalaka hatongozi tukija kwa huyu rafiki yangu kipenzi SH ndo tunakimbiana? lol
marafiki wa hivyo siwataki, na madam ni rafiki yako sitaki kuuvunja urafiki wenu,, labda uamue kumkana kwa kiapo.
mbona sina hela amepita hapa jana?