Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ndege johnHuwa nafungua uzi nausoma nikifika katikati nascroll juu kuona nani ni muandishi,
Kwa uzoefu wangu JF nikikuta nyuzi kabla sijascroll huwa naotea mwenye nyuzi atakuwa nani??!!
Kwa uzi wako huu kuna watu nakufanisha nao.
ZERO IQ
NA FALA MOJA JINA NIMESAHAU
