Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Huwa nafungua uzi nausoma nikifika katikati nascroll juu kuona nani ni muandishi,
Kwa uzoefu wangu JF nikikuta nyuzi kabla sijascroll huwa naotea mwenye nyuzi atakuwa nani??!!
Kwa uzi wako huu kuna watu nakufanisha nao.
ZERO IQ
NA FALA MOJA JINA NIMESAHAU

Unaotea?
 
Mwenywe nimesoma kiswahili na nimebobea hapo. Huko Tataki nilishaingia sana kipindi natafuta shahada ya kwanza. Nitawezaje kurudi kuuliza jambo dogo kama hilo ilhali lipo uchi kabisa. Hakuna sifa hapo.
Mbona sentensi hii inakusumbua sasa kuielewa wakati mi natumia knowledge ya from 4 tu ya division 4
 
Ngoja aje ndani ndo utajua kama anauwezo wa kulelea au wewe ndo utamlea...
 
Mimi sina mke wala sina mpango, labda nikutongoze si ulisha zoea

wewe si mwanamke ndio maana unataka kunitongoza. Au hujasoma kichwa cha habari kinasemaje? Utaliwa tigo fiesta kizembe kenge wewe. Mada inahusu wanawake wakinitongoza wewe unalete puru lako
 
Back
Top Bottom