utampaje namba angu wakati umeombwa ww ebu tumia kiungo sahihi kufikiria basi...Mkuu nitampa namba yako then utatoa mrejesho
maana yake sitampa yangu, ntumie yako pm nimpe
🙂🙂🙂🙂 Vitz ni gari ya watoto wanaotafuta maisha ulikuwa hujui mkuu.we mariyo tu huna gar afu unaita vitz gari la watoto!? unadhani prado ni gari ya tembo!? we masikini acha ujeuri wako.
Sa tufanyeje huyu dada atulie maana nimepita mida ya tano kaniita kanambia yupo sirias.
Nimepitia hili kaburi ulilofukua nimecheka sana
Usitokwe POVU kama MANZISwali lako jibu lake lipo aya ya pili kutoka mwisho katika uzi huu. Usiongozwe na mihemko kama Manzi
😀😀😀😀Huwa nafungua uzi nausoma nikifika katikati nascroll juu kuona nani ni muandishi,
Kwa uzoefu wangu JF nikikuta nyuzi kabla sijascroll huwa naotea mwenye nyuzi atakuwa nani??!!
Kwa uzi wako huu kuna watu nakufanisha nao.
ZERO IQ
NA FALA MOJA JINA NIMESAHAU