Sina hamu ya kusex na mke wangu

Hata mie ilishanitokea . Nilipata shida sana kujua tatizo ni nini maana kila nikitaka sex nae gahfa jogoo anaanguka kama zigo. Baadae iliisha yenyewe. Hadi nilimfikiri tofauti sana mke.
 
Mkuu mjali tumbo, hakika hauwezi kuwa na hamu na mke wako kwani unapoingia nyumbani tayari unakuwa umeshapiga mabao nje, na pia akili umeshaiaminisha kutokuwa na hamu na mkeo. Hili ni lazima litatokea.

Nini cha kufanya.
Achana na hao malaya na mahawara wa nje, ukishashikwa na minyege elekea kwa mkeo uone kama hamu bado haitakuwepo.

Pia kumbuka ni kitu gani kilikuvutia awali kwake mpaka hamu ya ku-do ikawepo na kuamua kumfanya kuwa permanent wako? Basi mwambie aendelee kumaintain hicho kitu.

Kuweni wawazi kwenye mambo yenu ya mapenzi, pata muda wa kutoka naye out, mnunulie nguo zinazompendeza na zinazoamsha mzuka wako.

Ngoja nikwambie kitu kimoja. kuna siku nilienda na mke wangu Arusha, basi kufika dukani nikaona sketi moja, nikaipenda, nikamnunulia, kufika ndani Hotelini tulipofikia akaivaa, Ooooh!!! Kwa jinsi alivyopendezea, nilimrukia nikamvua hiyo sketi tukawa katika ulimwengu tofauti. Kwa ujumla mimi ndo huwa namnunulia nguo nyingi kama makufuli ya ndani, sketi, suruali nk. kwani nataka aonekane jinsi mimi ninavyopenda.
 
Kungwi? Au zilongwa mbali na zitendwa mbali. Naogopa isije kujaa
 

endelea tu kumtumikia shetani malipo yake yanakungojea, mana huwa hana asante
 
Hizi ndoa hizi? Hata hausikitiki kukosa hamu nae, upo kimaslahi zaidi. Inakuuma because you spend on your wife?

What the hell is this world coming to?

You are the problem, jirekebishe. Ulishazoea uzinzi utamtesa tu mtoto wa watu.

Anarudi home anakula na kulala afu mkewe anamuangalia tu. Hajiulizi kwanini mkewe kakaa kimya.... Ukiuliza wanini wengine hujiuliza watampata lingi. Ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno.
 
Hata mie ilishanitokea . Nilipata shida sana kujua tatizo ni nini maana kila nikitaka sex nae gahfa jogoo anaanguka kama zigo. Baadae iliisha yenyewe. Hadi nilimfikiri tofauti sana mke.

please mfamaji ni PM contact yako tuongee.
 
baba yangu mpaka leo anamuita mama girlfriend wake.ndoa inajenga mazoea mabaya,mchukulie kama g/friend wako na sio mtu ambaye yupo na unaweza papuchi muda wowote tu.spark up your relationship,try something new dont let ur life be a routine
 



Halafu mkeo akianza kuchepuka utamlaumu kweli wewe? Kama hadai ujue na yeye anapewa mzigo nje kama kawa! Mwisho hata sijui kwa nini mlioana..
 
Na mkeo ana hawaram vinginevyo angeshashtaki kwa wazee wa ukoo. Miezi sita chakula ya usiku haieleweki? Unatania
 
una tatizo la kisaikolojia, unahitaji kanseling
 
hauko matured enough kuwe mume wa mtu
 
Anarudi home anakula na kulala afu mkewe anamuangalia tu. Hajiulizi kwanini mkewe kakaa kimya.... Ukiuliza wanini wengine hujiuliza watampata lingi. Ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno.

Wala ujakosea twin.kuna wanaume wanatka kuitwa kichwa cha familia lakini awastahili na mmoja wao ni huyu..
 
Miezi sita?
Enhenhrnhenhenhe
Watu mna mooooooyo!
Umeridhiiiiiiika mwenyewe kuwa hasara pekee unayopata ni hela unazohonga!
 
Watu wanamlaumuuuu utadhani wenyewe si wa michepuka! Sio kwa sbb kajieleza ndio mumpige madongo msaidieni
 
Labda niseme tu, hauko peke yako ktk hilo! Ila la muhimu ni kujielewa na kuamua kuidhibiti hiyo hali! Cha kufanya kwanza ni kuamua kuachana na hao watu manake wanakupotezea muda pesa na hamu na mbaya zaidi tatizo lako litazidi kukua badala ya kupungua! Then mshepu mkeo awe unavotaka, mwambie avae unavotaka ukiweza mnunulie nguo, mafuta pafyumu na vitu vya aina hiyo!
Lastly ongea nae umueleze shida yako n nn hasa, halafu usisahau kubadilisha uwanja wa mechi inasaidia sana kisaikolojia, manake huwezi enda lipia hoteli ya laki halafu uchezi mechi ya kitoto! So ukibadilisha uwanja mambo yawaza kuwa safi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…