Sina hamu ya kuolewa


Kuficha makucha ndio tatizo haswa,inabidi wanawake tubadilike na tujikubali,asante kwa ushauri wako ila NasDaz promo yako mmmmh
 
Last edited by a moderator:
Hahaha sema hujapata bwana aliyekutamikia kuwa anataka akuoe..huna sifa huna vigezo..nani akuoe...hahaha unajitetea...watu wanagombaniwa na wanaume wa kuwaoa..we ht mmoja..poleee wee..mfa maji haishi kutapata tapa..but how old r u...sio under 18 wewe..maana ht me nikiwa under 18 nilikua sipeeendi kuolewa
 
jinsi ulivyo ni matokeo ya jinsi uwazavyo..anza kuona ndoa yako itakuwa ya tofauti..ondoa mitazamo hasi..matatizo ya ndoa hayajaanza leo,wazazi wtu walikuwa na mioyo ya uvumilivu..mtu muoga huogopa kushindwa..either u win or u luz maisha lazima yaendelee
 
Kuficha makucha ndio tatizo haswa,inabidi wanawake tubadilike na tujikubali,asante kwa ushauri wako ila NasDaz promo yako mmmmh
Kulikoni kamagetac, promo yangu inakuogopesha, au? Lakini co promo bahana, mie ndo nilivyo hivyo so am not those products with warning "Don't Try This At Home"!!!
 

Huyu co hataki kuolewa ila ameogopa yanayowasibu wanandoa ambao ni ukweli mtupu kila leo ambae hajaolewa asikie vurugu unadhani atapata moyo zaidi yakukata tamaa mpk ndo zinapewa vifurushi vya wiki nk ni htr ht walio ktk ndoa ukiuliza wengi wanavumilia bora kukuche au kwa ajili ya watoto hakuna amani tena mungu tupe subra
 
Mwambie na yeye ajaribu aone kwani hao aliowataja hapo ni binadamu wanakosea ila ndoa ya Mbasha ilivunja na mchungaji mla kondoo za bwana Gwajima.
 
Wengi hawataki kukubaliana,ila ndio ukweli wenyewe. Zipo ndoa chache sana zina amani. Ila nyingi wanavumiliana tu kwa ajili ya watoto.

Ni ukweli mtupu ni chache zenye amani cku hz michepuko ndo kimbilio la wenye ndoa hz cm ndio balaa kubwa tecnolojia imeharibu ndoa kwa madai wanandoa ni wasomi wote wanalaptp saa ngap mtatatua shida zenu badala ya mwanandoa kuwaita watu wadini wampe ushaur anatupia matatiz jf fb na kwengine ni htr mm ht ham cna
 
Bado umri unaruhusu i guess. Itafika time 30+ utatamani hata uolewe ndotoni tu kukamilisha ndoto yako ya kuolewa.
Kwa sasa endelea kudengua dengua.[/QUOd

30+ atatamani hata aolewe ndotoni? Nina 30+ na sijapata hii tamaa? Am I abnormal?
 

Vipi kwa upande wa ndoa ya wazazi wako?
 

Haswa hilo la vurugu na magonvi katika ndoa ndilo linalo muogopesha,anaona ataolewa na baada ya muda tu atarudishwa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…