Sina hamu ya kuolewa


Umeongea vizuri NasDaz hofu tu ni kwamba mnaweza ishi pamoja kabla ya kuoana then ndoa ikafuata,sasa maisha ya ndoa ndio yanaanza halafu ulichokuwa unakitegemea unakuta sio,matokeo yake ndio kama ndoa za hao wanao talikiana
 
Last edited by a moderator:
Wengi hawataki kukubaliana,ila ndio ukweli wenyewe. Zipo ndoa chache sana zina amani. Ila nyingi wanavumiliana tu kwa ajili ya watoto.

Kuna ndoa moja wamegawana vyumba,mume analala kivyake na mke kivyake yaani kila mmoja hataki kuondoka sababu kuu ni nyumba wamejenga
 

Kweli we mchaga kma c wa mamba utakua wa mwika
 
Kuna ndoa moja wamegawana vyumba,mume analala kivyake na mke kivyake yaani kila mmoja hataki kuondoka sababu kuu ni nyumba wamejenga
kwa watoto kuna tofauti ...maana once upon a time nao waliishi kifamilia...at leats wanajua hata taste yake...
 

Kula like 1000 umeongea ukweli ndoa z kukurupuka huwa hazidumu mtu anaweza kuficha tabia hata miaka 2 bt ukikaa nae ndio utaweza kumjua tabia au yeye kukujua tabia,chukulia maisha y dar mnaonana wkend 2 tena cz mko busy n maisha hpo utawezaje kumjua mtu.ngoja niongeza 2yrz itimie 5 ndio nimuoe yani shake well b4 use
 
Last edited by a moderator:
Usipoolewa hiyo ni hasara yako na haizui wengine kuoa au kuolewa.
 
Huyo rafikiyo hajapenda ndio maana hata sample kachukua hizo chache utajuaje watu wanaishi bila migogoro kwa kuwatazama kwa nje. Naamini kama angefuatilia wana ndoa hao wote kabla migogoro yao haijatoka nje angeona kasoro nyingi na huenda angeyatarajia yaliyotokea. Mwambie wengine tupo kwenye ndoa miaka kadhaa mpaka tunasema hivi ningeishije mwenyewe. Raha ya ndoa ni upendo na uaminifu , yote haya yanategemea utashi wa ndani wa wanandoa.
 
Ingekuwa tunaangalia yatokeayo duniani kwanza kabla ya kufanya chochote basi leo hii watu wasingepanda ndege maana ndege za kisasa zinaanguka kila siku nyingine zinapotea na mamia ya watu ndani.
Ingekuwa hivyo leo tusingepanda magari maana magari/mabasi yanaua kila kukicha.
 
shetani hufanya kazi kwa karbu sana na wanawake na anapompata mmoja hufurahi akiamini amepata WAKALA so pinga nguvu na kuwa mlango wa shetani kuharbu dunia. "if you can't be for some one you will be for everyone" HATARI
 
Umeongea vizuri NasDaz hofu tu ni kwamba mnaweza ishi pamoja kabla ya kuoana then ndoa ikafuata,sasa maisha ya ndoa ndio yanaanza halafu ulichokuwa unakitegemea unakuta sio,matokeo yake ndio kama ndoa za hao wanao talikiana
Niliposema tupeane muda ili kufahamiana lengo kuu ni kufahamaniana khitilafu ama mapungufu yetu...

Narudia kamagetac, lengo ni kwamba TUFAHAMIANE na sio kwamba wewe mwanamke UMFAHAMU mwanaume! Tatizo ni kwamba katika hiki kipindi cha kufahamiana,wengi wao hususani wanawake wanaficha their true identity kumbe katika kipindi hicho unatakiwa kuishi wewe kama wewe! Ikiwa una tabia ya kupika na kurundika mivyombo michafu fanya hivyo hivyo hadi kwangu ili uone reactions zangu kwa mambo kama hayo! A real dude like NasDaz (lazima nijipe promo labda unaweza kuamua kuja kusikilizia kwangu, lol!!) hawezi kukukaripia lakini atakuelekeza! Lakini ukiigiza, na kuanza kuosha vyombo mara baada ya kula chakula halafu baada ya ndoa unarudisha ile tabia yako ya asili (ya kurundika vyombo) hapo ndipo utakapokuja kumuona NasDaz huyu ni tofauti na yule uliyekuwa umemzoea kabla lakini unasahau kwamba hapo nyuma hukuwahi kurundika mivyombo michafu!

Ikiwa wewe ni bibi chaumbeya, endeleza umbeya wako wakati upo kwenye induction period ili uone reaction zangu dhdi ya tabia za umbeya... Mifano ipo mingi, itoshe tu kusema kwamba, katika kutafuta ndoa, wanawake wengi wanaficha hizi tabia zao za asili na kuanza kuonekana baada ya kufunga ndoa na hapo ndipo tatizo linapoanza! Lakini ikiwa zile tabia zako za asili ulizificha wakati wa uchumba na bado ukaendelea kuzificha na kufanya jitihada za kuachana nazo kabisa hata baada ya ndoa, then kuna uwezekano mkubwa wa kuishi kwa amani... na hata kama itatokea mikwaruzano basi ni ile ya kawaida ambayo mtu hukutana nayo hata akiishi na mama ake mzazi!!
 
Last edited by a moderator:
Na kwa nyongeza tu, nimemjuza bi shost kamagetac kwamba anapokuja kuishi na mimi aishi yeye kama yeye... the real kamagetac wa nyumbani kwao! Tatizo wanawake wengi hata wanapoishi na mwanaume kabla ya ndoa, hususani wale ambao wanaishi kwa muda mfupi, huwa wanaficha tabia zao! Unakuta tabia yake ni kulala bila kuoga lakini kv amekuja kwako anajilazimisha kuoga kabla ya kulala ili kubembeleza ndoa... sasa katika mazingira kama haya huwezi kufahamu reaction ya mwanaume ipo vipi dhidi ya mtu anayelala bila kuoga!!! Sasa pale anapokuja kurudisha tabia yake ya kulala bila kuoga wakati yupo ndani ya ndoa, ndipo inapokuja kuonekana reaction ya mwanaume dhidi ya mtu anayelala kabla ya kuoga na hapo mwanamke anaona mwanaume amebadilika huku akisahau kwamba kwamba ni yeye mwenyewe ndie alikuwa anaishi maisha ya kuigiza na sasa anapoisha maisha yake halisi ndipo tatizo linaanza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…