Sio wote wenye ujasiri wa kuongea hayo especially kwa situation kama hiyo
huko ni kutokujiamini baadhi ya watu wanadhani akisema mtu atamuona malaya
Anaweza kuwa ni kati ya hao watu.....
Nimekuwa nae mwaka mzima sasa, nshajaribu kila ujuzi. Nahisi ananiibia tu ndo maana hayoko tayari tuongee
Duh noma kweli!...
hahaha huyo cku akichepuka akapata ataemridhisha nakuapia hatarudi.! maandaliz yako finyu sana hamna mwanamke alieumbwa bila kufika mwsho. ila wewe umejaa kinyaa na papara mda mwingi.. wakati wa shuguli usianze kujiangalia wewe au kutaka kuanza kujinufaisha wewe, mwanamke ni tofauti sana na mwanaume mda mwingine mpaka anyegeshwe sana ndio atamani kile kitu. hvyo chukua muda mwingi sana wa kumuandaa bila kinyaa mpaka uone anashika kile kitu mwenyewe na kukielekezea njia.. usifanye vitu juu juu. wanawake wengine ndivyo walivyo ni wagumu kufika kunako hvyo lazma mwanaume uwe mbunifu na kumshirikisha yeye mwenyewe kuwa kitu gani anapenda kufanyiwa mnapo kitandani.. !
Nimekuwa nae mwaka mzima sasa, nshajaribu kila ujuzi. Nahisi ananiibia tu ndo maana hayoko tayari tuongee
Nafikiria kuachana nae labda ntampata nayeendana naye
huyo anawezekana kashawahi kuugua magonjwa ya zinaa,hakupata tiba sawa sawa au alichelewa,ivyo kapata hali ya kuskia maumivu kila wakati wa tendo kitu kinachomfanya asifike kileleni.
Lakin hajawahi kusema anasikia maumivu na huwa anajituma sana kitandani, nafikiria nitafte mwingine atakayenifanya nifrah maana raha yangu ni kuona namridhsha mpendae
hahaha huyo cku akichepuka akapata ataemridhisha nakuapia hatarudi.! maandaliz yako finyu sana hamna mwanamke alieumbwa bila kufika mwsho. ila wewe umejaa kinyaa na papara mda mwingi.. wakati wa shuguli usianze kujiangalia wewe au kutaka kuanza kujinufaisha wewe, mwanamke ni tofauti sana na mwanaume mda mwingine mpaka anyegeshwe sana ndio atamani kile kitu. hvyo chukua muda mwingi sana wa kumuandaa bila kinyaa mpaka uone anashika kile kitu mwenyewe na kukielekezea njia.. usifanye vitu juu juu. wanawake wengine ndivyo walivyo ni wagumu kufika kunako hvyo lazma mwanaume uwe mbunifu na kumshirikisha yeye mwenyewe kuwa kitu gani anapenda kufanyiwa mnapo kitandani.. !
Huwa namuandaa sana mpaka anafikia hatua ya kudai kitu au kunivuta na kuingiza kitu. Nahisi huyu hatuendani nitafute mwingine japo tumezoeana sana
Mkuu niwazi kabisa unaugeni fulani hivi kwenye hii sekta ya mapenzi yani kabisa unashindwa kujua kama mwanamke umemfikisha kilele , aisee hapa pia unahitaji maelekezo ya ziada kabla ya kukuambia ufanye nini juu ya hili bandiko lako.!