Upo sahihi lakini unapotafuta ngono tu kwa kila mwanamke itafika wakati hutafurahia chochote.Nje ya hizo vitu mnaita love Kwa ndani kuna kitu kinaitwa ngono ambacho ndicho huwa ni main point
No love nowadays usitudanganye haps
Ni kweli.Mhm sio kweli
Tubia tu tatu tu twa alcohol 4.5🤔Ni kweli.
Njoo nikupende adi uchiziHabari Wana JF
Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.
Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.
Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.
Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.
Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda
Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
MhmNjoo nikupende adi uchizi
Mwendo wa kumpa maupendo ila awe na maokoto
Hivi ni seriously kwel kwamba mmeamua mpende kwa dhumuni la pesa tu au ni fikra zangu tu?Mwendo wa kumpa maupendo ila awe na maokoto
Baadhi ila Mimi sipendi pesa naapiaHivi ni seriously kwel kwamba mmeamua mpende kwa dhumuni la pesa tu au ni fikra zangu tu?
Yani wewe humu ndio nakuona kama TP la mapenzi namba moja 🤣Baadhi ila Mimi sipendi pesa naapia
😹😹
This is not my life in realityYani wewe humu ndio nakuona kama TP la mapenzi namba moja 🤣
Kawadanganye wanao sinzia😄This is not my life in reality
😹😹😹Niikisema sipendi pesa hamuamini nikisema napenda mnaniita tapeli?!Kawadanganye wanao sinzia😄
Kwa sababu ni kwel hakuna asiye penda pesa ila kusema haupendi ni mbinu ya kitapeli😁😹😹😹Niikisema sipendi pesa hamuamini nikisema napenda mnaniita tapeli?!
Mbn nikisema napenda husemi ni uongo?
Napenda kidogo tu .Kwa sababu ni kwel hakuna asiye penda pesa ila kusema haupendi ni mbinu ya kitapeli😁
Haya malerinaNapenda kidogo tu .
🐒
Ndiyo hiyo imekulandua, 😂😂😂😂Tubia tu tatu tu twa alcohol 4.5🤔
Hiyo ni kawaida tu wala haina uhusiano na tatizo la akiliOpenly hauko sawa kiakili, kihisia wala kisaikologia
Binadam alie kamilika anapenda anawivu na anaumizwa na mapenzi ukiona vitu hv hauna jua unamapungufu sehemu hasa mentaly