Umefafanua vyema coca,wengi Huwa wanachanganya Kali na classicπ€π€π€π€π€Pisi kali za chuo zinazoshindia mihogo, ndo vijana wengi huziita pisi kali.
Nweii, kuna pisi kali na kuna pisi classic, msichanganye hivi vitu. ππππ
Hahahahahaha hii ni kali ya Mwaka.Dah aisee!
Umejaribu kwenda VETA? nasikia ndio solution la mambo mengi.
Pisi kali ni natural, ila Pisi classic ni artificial.
Ndo maana watu hawajui kutofautisha, mzuri na mrembo.
Pisi kali hata buza zipo, je hizo classic? Na kwa maelezo yako ya vitu ulivyotaja bas sio pisi kali, ni classic na huyo OP hata kumtongoza hawezi.
Watu mtafute hela, ππππ
Ndo nawasanua km hivii. ππππUmefafanua vyema coca,wengi Huwa wanachanganya Kali na classicπ€π€π€π€π€
Tafuta Hela, ππππView attachment 3281487Mimi nipate pesa kidogo tu nile na kunywa kwanza, kidogo ni save ,hizo pis classic zinipite kushoto wa hivi ananitosha kabisa kupunguza upwiru tuπ€£
Natafuta ila kidogo tu , tumbo langu sio kubwa kihivyo, sitaki stressπTafuta Hela, ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23]we ni pisi ipi kati ya hizo?Pisi kali ni natural, ila Pisi classic ni artificial.
Ndo maana watu hawajui kutofautisha, mzuri na mrembo.
Pisi kali hata buza zipo, je hizo classic? Na kwa maelezo yako ya vitu ulivyotaja bas sio pisi kali, ni classic na huyo OP hata kumtongoza hawezi.
Watu mtafute hela,
Pisi Mbovu. ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]we ni pisi ipi kati ya hizo?
Tumbo La huyo wa kukutoa upwiru likoje?Natafuta ila kidogo tu , tumbo langu sio kubwa kihivyo, sitaki stressπ
hahaha [emoji1787]Pisi Mbovu.
Kwa muonekano huo lazima awe na pesa zake binafsi , mwanamke wa shoka malkia wa nguvuππTumbo La huyo wa kukutoa upwiru likoje?
πππππ
Sasa kwanini mnadanganya?Kumbe huwa unakuwaga seriously na maneno yetu humuπ
Unapenda kitonga weyee? Tafuta helaa.Kwa muonekano huo lazima awe na pesa zake binafsi , mwanamke wa shoka malkia wa nguvuππ
Aiseee!!!πΏKwa muonekano huo lazima awe na pesa zake binafsi , mwanamke wa shoka malkia wa nguvuππ
π€£π€£ vipesa vyangu vinaokoka na kuteleza na teleza wala hakuna matataπUnapenda kitonga weyee? Tafuta helaa.
ππππ
Kitakukuta kitu, nasemaje tafuta hela.π€£π€£ vipesa vyangu vinaokoka na kuteleza na teleza wala hakuna matataπ
Hakiwezi nikuta kitu na kondoo wa livyo wengi kuliko kinikute kitu nitawa manipulate waje wanyanyue mikono ya nabii chapu tu narudi kwenye mfumo , mimi kukosa chenji za mboga ni ngumu kama kuona tako la mamba mkuuπKitakukuta kitu, nasemaje tafuta hela.
ππππ
Sijasema chenji, nimesema Hela.Hakiwezi nikuta kitu na kondoo wa livyo wengi kuliko kinikute kitu nitawa manipulate waje wanyanyue mikono ya nabii chapu tu narudi kwenye mfumo , mimi kukosa chenji za mboga ni ngumu kama kuona tako la mamba mkuuπ