PoleUnachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.
Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂
MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.
SHAURI YAKO.
Mungu mwenyewe anakuchunguza hata kabla hujavua ile kutamani ushazini uoni ni nature.Wewe kama mwanaume huo.muda wa kuchunguza hayo mambo unatoa wapi😹😹😹