Sina bando linakaribia kuisha

Sina bando linakaribia kuisha

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,809
Reaction score
5,760
Unachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.

Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂

MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.

SHAURI YAKO.
 
As a man, JIPENDE… Tenga muda kwa ajili yako na kwa ajili ya vitu unavyovipenda… Hang out na washkaji, make those silly jokes, have that little fun….

You can never pour from an empty glass, jijaze ili uweze kushare ulichonacho na unaowapenda
 
🫩🫩🫩 yote maishaaa ...
Pretty face,Soft heart,but don’t get it twisted . (1).jpg
Pretty face,Soft heart,but don’t get it twisted ..jpg
 
As a man, JIPENDE… Tenga muda kwa ajili yako na kwa ajili ya vitu unavyovipenda… Hang out na washkaji, make those silly jokes, have that little fun….

You can never pour from an empty glass, jijaze ili uweze kushare ulichonacho na unaowapenda
Dat Big
 
Unachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.

Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂

MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.

SHAURI YAKO.
Amekufanya kuwa Mtumwa na amekuwseza, Women are very powerful
 
Unachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.

Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day Ukimuuliza tena anasema “nilikuwa sina bando”, wakati status mpya inaingia 😂

MSHIKAJI KIMBIA ,UNAANDALIWA KUWA MBADALA.

SHAURI YAKO.
alhamdulilah sijaipitia hio phase
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom